iddimaftah
Member
- Sep 15, 2014
- 33
- 10
Ingia Google andika neno adthe then follow instructions utacheki games zote laivuuu bila chenga hakikisha una bando ya kutosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia Google andika neno adthe then follow instructions utacheki games zote laivuuu bila chenga hakikisha una bando ya kutosha
Juzi nimeona game ya AzamDuhh hii kali
Nimeacha kuangalia mpira kwa kutumia adthe,maana kila nikiingia nakuta matangazo ili niweze kuangalia match basi kwanza lzm ni bet!Ingia Google andika neno adthe then follow instructions utacheki games zote laivuuu bila chenga hakikisha una bando ya kutosha
hivi kuangalia mpila live kupitia app unatakiwa uwe na MB ngapi?
dakika zote mkuu?Ukitaka kuangalia without hofu yeyote tumia 1GB
dakika zote mkuu?