mnadhimu mkuu wa jf
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 759
- 285
Mkuu tunaomba utuwekee na link ya game za leo hasa za Man, Arsenal na ChelseaKuanzia mb 600
Ucjal kkMtaalamu leo naomba utuwekee link ya game ya Bayern Munich na pia game ya Monaco
Thank You In Advance
Mbona me siinjoy hii kitu full kuganda ganda kwani nyie mnatumiaga simu gani na mtandao ganiMtaalamu leo naomba utuwekee link ya game ya Bayern Munich na pia game ya Monaco
Thank You In Advance
Nadhani inategemea na ubora wa cmu na aina ya mtandao..mm natumia Vodacom 4G yaani naangalia bila chenga wala kuganga mwanzo mwisho...Mobdro saa zingine inaganda kidogo ila hii haijawahi kugandaMbona me siinjoy hii kitu full kuganda ganda kwani nyie mnatumiaga simu gani na mtandao gani
kwenye i phone x haigandi gandi mkuu uwe na 4g yoyoteMbona me siinjoy hii kitu full kuganda ganda kwani nyie mnatumiaga simu gani na mtandao gani
Unatumia simu gani?Nadhani inategemea na ubora wa cmu na aina ya mtandao..mm natumia Vodacom 4G yaani naangalia bila chenga wala kuganga mwanzo mwisho...Mobdro saa zingine inaganda kidogo ila hii haijawahi kuganda
bro mbona mm inagoma kabisa yaani kutizama mechiUcjal kk
INTITLE:INDEX.OF? MKV
Inagomaje mkuu?bro mbona mm inagoma kabisa yaani kutizama mechi
Mpira wa kibongo naweza tizama, kama naweza nisaidie link plz! Mpira wa nje natumia MobroYes bro, link kama hizo unaweza kunisaidia mkuu...?.
Thanks.
tumia iyo kwanza then uniletee mlejesho kma imefaa au vp