Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Asante kwa huu uzi unanifa mno nimechek game ya Arsenal fresh kabisa thanks
 
Asante sana Mv Jr , naangalia game ya roma hapa. Natumai juve nayonitaiona.
 
Asante sana Mv Jr , naangalia game ya roma hapa. Natumai juve nayonitaiona.
 
Mkuu hili la tatizo la view tunalitatuaje maana tangu jana kuna upande wa huku chini huoni mpira nimefungua na leo naona iko kama jana bado
Mm mwenyew ilizngua jana ila mkuu mv jr alinishaur niangalie link nyingne pale pale chin yake na nikaikuta moja iko fresh sana..so mkuu chek link video nyingne chin hapo
 
Back
Top Bottom