Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Wajumbe wa mpira, Igweeeee!

Naulizia online streaming ya pambano la leo kati ya Madrid na Spurs itarushwa kupitia wapi? mwenye msaada please.

M.
 
M jnr Hali mbaya huku. Weka link mtaalam niangalie mechi ya Monaco na besiktas
 
Wadau link niliweka mapema sanaaa hebu muwe mnapitia post za nyuma ninazotuma zinakuwa na link na tarehe husika ya mchezo...
Mkuu kwanza naheshimu sana mchango wako kwetu. Mimi nilikuwa sijajua kama huu uzi ni wa kudumu ila naona sasa ni wa kudumu na wa uhakika.

Basi naomba kama hutojali uwe una tutag unapotoa post japo nasi tutajitahidi kuhudhuria regularly.

Mwisho kama kuna uwezekano wa mechi za ligi kubwa zote, UEFA, etc uwe unatuwekea mkuu

Asante
 
Poa mkuu tupo pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…