Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Nakwama wapi wakuu mbona inaniletea manyau nyau
Screenshot_20190701-221550.jpeg
 
Game ya Brazil VS Argentina sijaona hesgoal.. Mwenye link msaada
 
Yaani huku kwangu hii link inajaa matangazo mpaka sioni mpira nifanyaje wadau?
Screenshot_2019-07-11-20-43-40-686_com.android.browser.jpeg
 
Back
Top Bottom