Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Sababu ipi mkuu Huyu mwamba kula banTunzo kala ban
Sijajua sababu kuu, ila yupo kwa ID nyingine
Shukran sana chief
Nakwama wapi wakuu mbona inaniletea manyau nyau
Hii naweza nikadownload mkuu? Nipate app
Nimeoverlook aisee, I thought ni mida hii, tatu unusuGame ni saa Tisa na nusu usiku bosi, usijali mda bado wataiweka