Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Mkuu download Mobdro. football na movies crystal clear
 
vipi na hii "u-stream" ipo vizuri????? any feedback
 
Miye link zangu natafutiaga hapa soccer results, real-time live scores, ila naangalia kwa kutumia sopcast software/app ambayo waweza idonload then, watafuta link/channel kwenye soccer results, real-time live scores !Uzuri wa sopcast inafanya buffering kwanza then ndo unaangalia inakuwa live bila chenga ingawa ila delay ya kama 0.5-1minute! ila iko vzr ukiwa na net vzr yaan kiwango chake n zaidi ya cha TV
 
tembelea goATDee.Net - Watch Free Live Sports TV utaona mpira bila zengwe. cha muhimu ni internet ya kueleweka. Jumamosi na Jumapili baada ya mechi za Premier League kuanzia saa sita na dakika ishirini kuna kipindi match of the day ambapo utaona highlights za mechi zote za Premier League na baada ya hapo ni za Championship hapohapo direct au kupitia BBC ONE. hapa goATDee.Net - Watch Free Live Sports TV ni mechi za ligi zote kubwa za Ulaya. kazi kwako
Inaniambia ni sign up kwanza,sasa kasheshe sipaoni pa kufanya hivyo
 
hakuna haja ya kusign up subiri sekunde chache itaendelea tu. huna haja ya kusign up man
 
Thread nzuri sana hii, vibanda umiza hawanioni tena,

Huu mwaka wa 3 sasa banda umiza hawanioni. Nasikia tu wanalalamika gharama za DSTV kupaa. 300mb unacheki game mwanzo mwisho na ku browse vitu vingine kdg.
 
Back
Top Bottom