SangaweJr
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 2,986
- 2,664
Mobdro ipo moja tu, just Google, hizo za playstore sio. Google modro apk utaipata.zipo nyngi hizi mpaka tuna shindwa fahamu zipi ni nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mobdro ipo moja tu, just Google, hizo za playstore sio. Google modro apk utaipata.zipo nyngi hizi mpaka tuna shindwa fahamu zipi ni nzuri
Gusa hiyo link. Itakuuliza ufungue kwa browser gani chagua kati ya opera, uc browser nk kisha download hiyo application na install kwenye simu yako.Tafadhali naomba unielekeze jinsi ya kuitumia hii
Uzuri wa hii link wakuu unachagua mechi yoyote duniani unayotaka kuangalia tofauti na mobdro ambayo mpaka ujue mechi iko chaneli gani kisha uitafute hy chaneli na pia zinakuwa mechi chache... Pili haina mizunguko mingi ukiifungua inafikia kwenye mechi inayochezwa muda huo...Tafadhali naomba unielekeze jinsi ya kuitumia hii
Mbona ya arsenal siioni?LIVE MATCH ZA LEO. 18/11/2017..
ANGALIA EPL, LALIGA, SERIA A, BUNDESLIGA & LIGUE 1.
BOFYA LINK==> أهم مباريات اليوم | جوال
CHAGUA MECHI UNAYOTAKA KUANGALIA NA UIBONYEZE..
TUMIA CHROME AU PUFFIN BROWSER.
ENJOY YOUR DAY.....
Kwa ambao walikuwa hajainstall hii app ya kucheki mechi live tumia link kuinstall...fullsoccer...Tumia hii link kuinstall hii app utachek game zote duniani mkuu....
http://1xsone.com/sportzone/SportZone_1.2.3.apk