Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Ipo App moja ni nzuri. Inaonyesha michezo mingi. Soka,basketball na hata boxing. Ipo Playstore inaitwa "NAVIXSPORT+" ipo poa haijawahi kuniangusha. Kwa ligi za UK, ITALIA, SPAIN. GERMAN na FRANCE.
 
nimechek ila hinipi majibu maziri.. hebu tupia nembo yake
Hii hapa
Screenshot_20181207-201001_Samsung%20Experience%20Home.jpeg
 
Back
Top Bottom