Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Unaitaka au
Asante mkuu,naona hawa www.hesgoal.com walikuwa kwenye marekebisho wameludi kuwa vizuri zaidi.

Kifupi sipendagi kuwa na apps nyingi kwenye simu ambazo kwa kiasi kikubwa zinafanya kazi moja.

Ntakuona wakati mwingine nkiwa na uhitaji wa dstv mobile apps.
 
Vipi jamani kuna mbadala wa hesgoal.com. naina kwangu imegoma kabisa
 
🇦🇳🇬🇦🇱🇮🇦⚫ 🇹🇻⚫ 🇰🇮🇬🇦🇳🇯🇦🇳🇮⚫ 🇰🇼🇦🇰🇴⚫ 🇧🇺🇷🇪🇪
Karibu upakue App hii ili uweze kuangalia channels za kibongo NA mpira live.zipo WASAFI TV. SINEMA ZETU.TBC MTV ITV ,KOREAN DRAMA na nyingine nyingi BURE
...

DOWNLOAD/BONYEZA HAPA APP IPO PLAYSTORE

👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿
 
Back
Top Bottom