Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

XL ya Kichina au Japan? Ila angalau ingekuwa 150.
Ya Japan

Binafsi nilitamani kuanza na 200 ila ndo hivyo sijazipata kuna hizi wanaita XR naona zina muonekano bomba pia. Japo zote bado zipo kwenye kundi la pikipiki ndogo, uwezo utapoongezeka ndio tutatafuta hizo 1000 plus' cc's
1645644726191blob.png
 
Bmw r1250gs 2022 new model[emoji114][emoji116]
Engine: 1,254 cc
Air/liquid-cooled 4-stroke flat
twin enginePower: 136 hp (151 kW) at 7,750 rpmTorque: 105 lb-ft (143 Nm) at 6,250 rpmWet Weight: 591 lbs (268 kg)Seat Height: 35.0″ / 35.8″ (890 mm / 910 mm)

Price in USD=$19,510

Price in tsh=45,290,026.25

Sasa utachagua ukanunue klugger au crown mbili uzipaki ndani.
6000000001.jpg
6000000003.jpg
 
Kitu kingine ambacho ni nimekikumbuka nimuendelezo wa hizi series za bmw R series ni kuwa specs zilizopo pia ina pima uzito wako kama uzito wako haupo balanced na uzito uliowekwa kwenye hii pikipiki naskia haiondoki wenye kujua zaidi kama nimekosea mtanirekebisha..

Pia siti yake ina airbag kwa ajili ya kukukinga endapo itatokea ajali itakayo kusababishia wewe kuanguka chini maana imefungwa sensor endapo itatokea mshtuko wowote mkubwa wakufanya wewe uanguke basi airbaki hiyo inafunguka nakukuvaa linakua kama ligodoro mwili mzima na kukufanya utakapo anguka udunde tu kama mpira picha kwa chini[emoji116]

Pia ina uwezo wa kuzunguka kwa round kama mara 10 au zaidi wenyewe bila kuwa na dereva na kujipiga stendi yenyewe automatically.
9059645c61935683297.jpg
Airbag-2.jpg
l4nuzul1avrw1qz9mlj4.jpg
Airbag-8.jpg
 
Ukiwa unaongelea ndege ya chini basi usikose kuiongelea na hii japo ni matairi mawili maana ndio pikipiki namba moja kwa mwendo hivi sasa duniani...[emoji116]

MTT 420RR Specifications

Engine: Rolls Royce Allison – 250-C20 Series Gas Turbine.

Power: 420 HP @ 52,000-rpm.

Torque: 678 NM @ 2,000-rpm.

Transmission: 2-Speed – Automatic.

Lubrication: Dry-sump / 3.5 Qts. Turbine Oil.

Frame: Aluminum Alloy.

Weight: 227 Kg.

RPM: 6,000 RPM.

Price in usd=270,000[emoji114]
In tsh=626,771,250.00millions

Hapa unapata ile range rover autobiography 2022 mpya kabisa au uchague kuleta land cruiser j300 ikiwa 0 kilometre na maganda yake...[emoji16][emoji23]
13617798-2017-custom-motorcycle-thumb.jpg
420RR_BLUE_7.jpg
MTT-420R-Official-Images3.jpg
 
Ukiwa unaongelea ndege ya chini basi usikose kuiongelea na hii japo ni matairi mawili maana ndio pikipiki namba moja kwa mwendo hivi sasa duniani...[emoji116]

MTT 420RR Specifications

Engine: Rolls Royce Allison – 250-C20 Series Gas Turbine.

Power: 420 HP @ 52,000-rpm.

Torque: 678 NM @ 2,000-rpm.

Transmission: 2-Speed – Automatic.

Lubrication: Dry-sump / 3.5 Qts. Turbine Oil.

Frame: Aluminum Alloy.

Weight: 227 Kg.

RPM: 6,000 RPM.

Price in usd=270,000[emoji114]
In tsh=626,771,250.00millions

Hapa unapata ile range rover autobiography 2022 mpya kabisa au uchague kuleta land cruiser j300 ikiwa 0 kilometre na maganda yake...[emoji16][emoji23]
View attachment 2285195View attachment 2285196View attachment 2285197
Hii hela nachukua V8 na inabaki najengea[emoji2][emoji2]
 
Ukiongelea pikipiki inayouzwa bei ghali duniani kwa sasa ni hii hapa chini pengine wadau wameweka picha zake ila hawaielezea kiundani zaidi... haya hizi apa sifa zake[emoji116]

Model name-Neiman marcus limited fighter

Price in usd[emoji117]11millions

In tsh[emoji117]25,535,125,000.00 millions[emoji16][emoji21]

Engine-v-twin

Top speed-300km/h

Displacement-1966.55cc

No. Of cylinders 2

Valves per cylinder 4

Transmission-6-speed

Final drive-chain

0-100 3.0sec aproxx

Battery-v12

Kerb weight-200+kg

confederate_renaissance01.jpg
l142_22711563975390.jpg
neiman-marcus-auctions-off-fighter-motorcycle-1679_1.jpg
 
Ndege nyingine ya chini ni hii hapa

Ecosse ES1 Spirit specs[emoji116]


Model name-ecosse es1 spirit sport bike

Year-2010

Engine type -v4 four-stroke

Power-200.0HP(146.0 kw (

Transmission 6-speed

Final drive -chain

Top speed-370.01km/h(230.0mph )

Torque-189.8nm(19.4kgf-m or 140.0ft.lbs )

Price in usd=3.6millions

In tsh=8,356,950,000.00 unapata buggati + rolls royce 1[emoji16] mwenzio ananunua pikipiki ya matairi mawili.
expensive-motorbikes.jpg
ecosse1.jpg
 
Back
Top Bottom