Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

992BD0E2-9D38-48DD-B28F-7FC0A4AFA5CD.jpeg
B9A04C8E-B348-4BFC-9357-96646083B1F7.jpeg
08776689-796A-4B6A-AD4F-8F80DED9E63F.jpeg
B9A04C8E-B348-4BFC-9357-96646083B1F7.jpeg
B9A04C8E-B348-4BFC-9357-96646083B1F7.jpeg
Bike hizi used zipo kwenye condition nzuri, wanaohitaji tuwasiliane wiki hii kuna gari zinarudi Tanzania tutakusafirishia.

Ushuru utalipa bike ikifika Tunduma, utapewa Control number
 
Tunaendelea kupeana elimu.

Vipi kuhusu Zanzibar? Kuna watu tunaaminishwa pikipiki Kubwa Zanzibar unaweza ipata kwa nusu bei ukifananisha na Tanzania.

Kuna watu wanauza uko Zanzibar (mitandaoni) unakuta bike kali mil 5.5 je ukiifuata ukakuta kweli ukalipa na ukafanya mchakato wa kuileta Dar vipi inaweza kukugharimu Mil 1 extra (usafiri na kodi TRA)?

Kuna mtu amewahi kunua uko?
 
Zanzibar ni bora uende Mwenyewe Physical, na ukiipata inayouzwa hakikisha kakupa documents zote alizoingizia bike na kodi yake aliyolipa Zanzibar.

Kusafirisha haizidi laki 2.
 
InShot_20241009_121505261.jpg
Mwaka 1985 Italy ilitoa chuma hiki aina ya Cagiva Ligier ikiwa na ujazo wa Cc 750.
 
Back
Top Bottom