Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

Tunaendelea kupeana elimu.

Vipi kuhusu Zanzibar? Kuna watu tunaaminishwa pikipiki Kubwa Zanzibar unaweza ipata kwa nusu bei ukifananisha na Tanzania.

Kuna watu wanauza uko Zanzibar (mitandaoni) unakuta bike kali mil 5.5 je ukiifuata ukakuta kweli ukalipa na ukafanya mchakato wa kuileta Dar vipi inaweza kukugharimu Mil 1 extra (usafiri na kodi TRA)?

Kuna mtu amewahi kunua uko?
 
Zanzibar ni bora uende Mwenyewe Physical, na ukiipata inayouzwa hakikisha kakupa documents zote alizoingizia bike na kodi yake aliyolipa Zanzibar.

Kusafirisha haizidi laki 2.
 
Zanzibar ni bora uende Mwenyewe Physical, na ukiipata inayouzwa hakikisha kakupa documents zote alizoingizia bike na kodi yake aliyolipa Zanzibar.

Kusafirisha haizidi laki 2.
Kumbukeni kitu Cha kununua Zanzibar ukikileta huku unaenda tena kulipa Kodi nyingine TRA na ni kubwa kuliko ya kule
 
Mwaka 1985 Italy ilitoa chuma hiki aina ya Cagiva Ligier ikiwa na ujazo wa Cc 750.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…