Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

Honda Repsol hii inawafaa wapenda MotoGP hiyo ni Racing Replica(RR) ina features kama za bike za Mashindano ya MotoGP
Usiguse anything above 500 cc, speaking from experience.

Nilikua na CBR 650F ya 2014, narudia tena kama ndio unaanza anza na cc 400 kushuka.

Kawasaki Ninja 300 & 400 sio mbaya, CBR zote chini ya 400 na YRF chini ya 400.

Ninaipenda sana KTM RC390

Best sport bike for beginners aisee.
 
Kwangu Best Bike ni Honda CB400 super four, iwe ya carburettor au fuel injection
 
Naked sio mapigo yangu ila wengi wanazipenda hawapendi kuendesha Sport uku umelala.

Naked CB 150R nako kazuri pamoja na MT 15 zina engine ndogo sana kama boxer BM.
 
Engine ndogo hazina mapigo ya kibabe inaunguruma kinyonge. Hiyo CB400 super four ikiwa silence unajua ni gari ipo nje inaunguruma.

Honda alifanya kazi 4 cylinder engine ya 400cc hata ikiwa na exhaust stock ina sound nzito sana
 
Mnapends makelele vijana eeh
 
Mkuu k
Mkuu kwa akili yako pikipiki ya hivi iuzwe milioni 8?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…