Marlex Jr El
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 1,819
- 2,415
Hii ni moja kati ya timu ambayo mifano take ni timu za kibongo nayo ina wazee wa timu wa kumpangia kocha nn cha kufanya wengi ni wapiga pesa kuliko mafanikio ya timu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fafanua .Hii ni moja kati ya timu ambayo mifano take ni timu za kibongo nayo ina wazee wa timu wa kumpangia kocha nn cha kufanya wengi ni wapiga pesa kuliko mafanikio ya timu.
Duh!Dortmund haina tofauti na mtibwa maana hawana malengo yeyote ya kupata mafanikio zaidi, kazi kuuza wachezaji wazuri na kurudisha wachovu
Mkuu, wachezaji wengi wameuzwa sahin, kagawa na gotze wakiflop wanarudishwa signal iduna, hata Pierre aubameyang atauzwa tuDuh!
Usije ukakuta we ni shabiki wa arsenal unaicheka dortmundDortmund haina tofauti na mtibwa maana hawana malengo yeyote ya kupata mafanikio zaidi, kazi kuuza wachezaji wazuri na kurudisha wachovu
Waliosajiliwa Yanga toka Simba. 1.BartezSimba wamesajili makombo ya Azam.
Manji bado yupo?Tatizo si pesa, tatizo ni ubabaishaji.
Waliosajiliwa Yanga toka Simba. 1.Bartez
2.Dida
3.Yondani
4.Tambwe
5.Kaseja
6.nk
Yote hayo makombo ya Simba?
Nope, man utd damdam mkuu sema wangeshindana na munchen kama ligi nyingineUsije ukakuta we ni shabiki wa arsenal unaicheka dortmund