Thread Maalumu kwa taarifa na tetesi za usajiri Barani Ulaya na Tanzania

Hii ni moja kati ya timu ambayo mifano take ni timu za kibongo nayo ina wazee wa timu wa kumpangia kocha nn cha kufanya wengi ni wapiga pesa kuliko mafanikio ya timu.
 
Dortmund haina tofauti na mtibwa maana hawana malengo yeyote ya kupata mafanikio zaidi, kazi kuuza wachezaji wazuri na kurudisha wachovu
 


Klabu za Manchester United na Chelsea zimeonyesha nia ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa Juventus, Paulo Dybala.

Man United wana kila dalili ya kumkosa Griezmann baada ya rufaa ya Atletico Madrid kufungiwa usajili kushindwa, na wanaamini Dybala ni mbadala sahihi.

Dybala ambaye ana umri wa miaka 23 alionyesha uwezo wa juu msimu huliopita katika kikosi chake cha sasa kiasi cha kuzivutia klabu nyingi za Ulaya.

CHANZO: MANCHESTER UNITED, CHELSEA ZAMTOLEA MACHO PAULA DYBALA
 

Klabu za Manchester United na Chelsea zimeonyesha nia ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa Juventus, Paulo Dybala.

Man United wana kila dalili ya kumkosa Griezmann baada ya rufaa ya Atletico Madrid kufungiwa usajili kushindwa, na wanaamini Dybala ni mbadala sahihi.

Dybala ambaye ana umri wa miaka 23 alionyesha uwezo wa juu msimu huliopita katika kikosi chake cha sasa kiasi cha kuzivutia klabu nyingi za Ulaya.

MANCHESTER UNITED, CHELSEA ZAMTOLEA MACHO PAULA DYBALA
 
Dogo yupo vzr anaweza kuwa mbadala wa Griezman bahat nzur umr ndoo wenyewe wamafanikio kwake
 
Jamaa yuko vizuri asee...kazi kwao sasa Chelsea na Man U
 
Waliosajiliwa Yanga toka Simba. 1.Bartez
2.Dida
3.Yondani
4.Tambwe
5.Kaseja
6.nk
Yote hayo makombo ya Simba?

Angalia umri wa Bocco halafu uangalie umri wa hao wengine. Bocco kachoka,umri umemtupa mkono.
 
aje man united akija chelsea atapigwa benchi kiwango kifilie mbali .@
 
TETESI ZA USAJILI

Wadau na wapenzi wote wa soka la ulaya tukutane hapa kwa tetesi za usajili na Mahabari yanayo tokea katika kipindi hiki ambacho ligi nyingi zime malizika .....

Kipindi kama hiki ndicho kipindi ambacho timu nyingi hutafuta wachezaji kwa ajili ya kuimarisha vikosi vyao kwa kipindi cha mwaka 2017/2018......



1)Arsenal are willing to pay Lyon £35m for Alexandre Lacazette if Alexis Sánchez leaves the Emirates. (Source: Daily Star)

2)Manchester United are unlikely to offer Zlatan Ibrahimović a new contract at Old Trafford. (Source: Sky Sports)

3)Manchester United boss José Mourinho must activate the £87m release clause if he wants to sign Torino striker Andrea Belotti. (Source: MEN)

4)Bayern Munich are ready to match Alexis Sánchez's €25m-a-year wage demands this summer. (Source: Kicker)

5)Wayne Rooney is in danger of pricing himself out of an emotional return to Everton. (Source: Daily Star)

6)DEAL DONE: Manchester City have signed goalkeeper Ederson from Benfica on a five year deal for a world record £35m. (Source: ManCity)

7)Arsenal have made a bid for James Rodríguez but it is thought to be below the Real Madrid's valuation of £69.8m. (Source: El Chiringuito)

8)Lille, Lyon, West Ham, Everton, Gladbach & Schalke have reportedly submitted offers to Chelsea for Bertrand Traoré

9)Chelsea will offer Romelu Lukaku a wage of more than £150,000 a week to secure an £80m return to Stamford Bridge. (Source: Evening Standard)

10)Atlético Madrid's transfer ban will have no bearing on Jan Oblak's proposed move to Manchester United if David De Gea leaves. (Source: MEN)

11)Tottenham are keen to sign Borussia Dortmund defender Matthias Ginter, who would be available for around £15m. (Source: Independent)

12)Liverpool have made a £43m offer for Real Madrid youngster Marco Asensio, according to reports in Spain. (Source: Liverpool Echo)

13)DEAL DONE: AC Milan have announced the signing of Swiss full-back Ricardo Rodríguez for a £15m fee on a 4-year deal. (Source: @acmilan)

14)Bayern Munich are willing to make Alexis Sánchez their highest paid player by offering him more than £300,000-a-week. (Source: Daily Mirror)

15)Barcelona have made Arsenal's Héctor Bellerín their number one target this summer and are preparing to make a £40m move. (Source: Mirror)

16)Claudio Bravo could leave Manchester City on loan this summer after the club signed Ederson earlier today.





Cristiano Ronaldo has refused to rule out leaving Real Madrid saying 'Nothing is impossible'. (Source: Daily Mail)




Manchester City are ready to sell Fabian Delph this summer but want about £12m for the 27-year-old England midfielder. (Source: Telegraph)




*BREAKING: Real Madrid have received a €200m bid from a team in China for Cristiano Ronaldo. He's been offered €120m-a-year. (Source: AS)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…