Rufaro
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 222
- 342
Habarini wakuu
Naomba kwa pamoja tujumuike hapa tupeane idea mbalimbali kuhusu uwekezaji ama biashara hii ya Real Estate tuone tunaweza kufaidika vipi ama kutajirika vipi kwa uwekezaji huu wa Real Estate.
Pia nawakaribisha ambao tayari niseme wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika business hii waje watupe mbinu mbalimbali ambazo walizitumia ama wanazitumia kwa tunaotaka ku cheap in kwenye business hii ama uwekezaji huu.