Thread Maalumu kwa wale wote wanaochukiwa bila sababu

MzeeKipusa

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2023
Posts
2,705
Reaction score
4,967
Kwema Ndugu zangu,

Yani unaweza kumeet na mtu au watu ambao wamekuzidi kila kitu, lakini wakaamua kukuchukia tu bila hata sababu yeyote.

Hata ukujitahidi kuwa tendea mema kwà HEKIMA, BUSARA, UPENDO na kwà ADABU zote, bado wataendelea kukuona si mtu mzuri.

Hii kitu ni gani aisee....let's discuss hii issue manzee
 
Halafu nasikia , watu wastaarabu, waungwana na wenye upendo ...ndio huwa wanaongoza kwà kuchukiwa sana. Hii mbona ni hatari sana, ...

Meaning mazingira ya sasa tuliyonayo hayahitaji watu wa aina hiyo?
 
kila mtu ana kitu ndani yake ila kuna watu ni magenius ,born to lead /born to shine and the like
William shakespare - Some are born great, some achieve greatness, and others have greatness thrust upon them.”
Dah sio poa
 
Akikupenda Mungu inatosha.
 
Si hangaiki na anayenichukia, na hangaika na Mungu tu, mtu ambaye hana mbingu ya kuniweka wakazi gani, Upendo wa Mungu ni utosherevu.
 
haiwezekani bila sababu, sababu nyingine huwa ziko stored in subconscious mind so mtu anabaki kusema tu hampendi mtu bila sababu kumbe sababu imejificha ukijidiagnos unaijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…