Yes, kufa kupo, mtu akiingia kwenye any combat sport automatically anakuwa amesign kifo kama mwanajeshi anapoingia vitani. Mimi ni shabiki mkubwa wa soka, nimeshuhudia matukio mengi ya wachezaji wakifa wakiwa uwanjani na haijanifanya nisipende mpira. Kama watu wanakufa mpirani sembuse kwenye 'combat sport'? Ila hata hivyo sio matukio ya mara kwa mara, ni kama ajali kazini tu
UPDATES: Pambano la marudiano kati ya bingwa mpya wa uzito wa juu anayeshikilia mikanda mitatu mikubwa mmexico 'Andy Ruiz' na bingwa aliyepokonywa mikanda hiyo muingereza 'Antony Joshua' limetangazwa rasmi, ambapo litafanyika tar7 December mwaka huu nchini Saudi Arabia na limepewa jina la CLASH ON THE DUNES. Inasemekana wamefikia hatua ya kuliweka kwenye 'neutral ground' kutokana na Andy Ruiz kugoma kupigana UK kwa kuhofia kuwa robbed na majaji, na AJ naye amegoma kupigana US/Mexico kwa kigezo cha kuwa pambano la kwanza lilifanyika nyumbani kwa Ruiz. Let's wait n see[emoji847]