screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
- Thread starter
- #41
Yes, kufa kupo, mtu akiingia kwenye any combat sport automatically anakuwa amesign kifo kama mwanajeshi anapoingia vitani. Mimi ni shabiki mkubwa wa soka, nimeshuhudia matukio mengi ya wachezaji wakifa wakiwa uwanjani na haijanifanya nisipende mpira. Kama watu wanakufa mpirani sembuse kwenye 'combat sport'? Ila hata hivyo sio matukio ya mara kwa mara, ni kama ajali kazini tuNa Still Unaupenda Mchezo