Anatwanga kotekoteHaya sasa yanga anapiga kila kona siyo mikoani tu hata visiwani ni kipigo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashujaa watakuwepo!??Leo Mnyama yupo kazini atatumbuiza. Akiwa kwenye tizi la kupambana na mabingwa wenzie. Njooni kwa wingi mpate burudani.
Hahaaa. Hivi matokeo yalikuwaje Mtani?Yanga anapelekeshwa hapa,kama timu ya ndondo
Sijui kwa nini aiseee.Mleta uzi vp mbona hauleti updates za mechi ya Yanga vs Kvs. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ Mkuu unawatonesha kidonda ujue. πππKVZ ipo Ligi Kuu Zanzibar na ndio anaongoza msimamo wa Ligi,Timu ya Ndondo tena Kigoma Combine ni Mashujaa FC
Sent using Jamii Forums mobile app
π€£π€£π€£ Pole Mtani.Unanilipa mpaka uniamrishe nikupe matokeo,pimbi mwenyewe?
Mnacheza na nani Mtani?Leo Mnyama yupo kazini atatumbuiza. Akiwa kwenye tizi la kupambana na mabingwa wenzie. Njooni kwa wingi mpate burudani.
Uwiii. Ila we jamaa ni Mkorofi. ππ
Hatari sana Mkuu. Hatuchagui.Haya sasa yanga anapiga kila kona siyo mikoani tu hata visiwani ni kipigo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ
Mimi ni Konkie konkie matata matatani.Ukieleta kiuno unashughulikiwa ipasavyo.Uwiii. Ila we jamaa ni Mkorofi. [emoji3][emoji3]
Hahaaa. Ila kwenye utani wa Jadi tunakwendaga Pole pole.Mimi ni Konkie konkie matata matatani.Ukieleta kiuno unashughulikiwa ipasavyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe anaongoza ligi mi nilishangaa mbona hii timu tafu sana afu inacheza mpira mzuri sanaKVZ ipo Ligi Kuu Zanzibar na ndio anaongoza msimamo wa Ligi,Timu ya Ndondo tena Kigoma Combine ni Mashujaa FC
Sent using Jamii Forums mobile app
ChipukiziMnacheza na nani Mtani?
Mshindwe wenyewe sasa hapoChipukizi
SAA ngapi?Chipukizi
Nimeona sehemu ni saa mbili na robo usiku.SAA ngapi?
Ahsante mkuuNimeona sehemu ni saa mbili na robo usiku.