Thread:Mapinduzi Cup updates

Thread:Mapinduzi Cup updates

Mikia mnajifariji.....Kabwili,Boxer,Gadiel,Kelvin,Dante,Ninja,Tshishimbi,Fei,Ajibu,Tambwe,MakaMBOO...Walamba mboo wanatokaje.tukutane kwa mchina
Hivi vyura hapo tu Zahera anaongea kiswahili bado hamumuelewi, kila siku anasema Yanga ni timu dhaifu kwa Simba droo tu ni ya kubahatisha, sasa akiongea kifaransa itakuwaje. Au unazungumzia mashindano ya kuogelea kwenye majitope labda hayo mtachukua hata kombe la CAF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale mnaohitaji Ubuyu wa Babu Issa, Zanzibar wekeni oda kabisa, Yanga wanarudi nyumbani.
 
Back
Top Bottom