OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Saa 2 usiku. Imeombwa na wazanzibar mechi iwezwe kutazamwa usiku ili watu wengi wapate burudani ya SimbaSAA ngapi?
Channel gani inaonyesha mkuuSaa 2 usiku. Imeombwa na wazanzibar mechi iwezwe kutazamwa usiku ili watu wengi wapate burudani
Azam Sports 2
Haina noma mkuuHahaaa. Ila kwenye utani wa Jadi tunakwendaga Pole pole.
Usiku siyo watakuwa wamelala?Saa 2 usiku. Imeombwa na wazanzibar mechi iwezwe kutazamwa usiku ili watu wengi wapate burudani ya Simba
🙏🙏🙏Ahsante mkuu
Kikosi cha Simba kinachoanza leoLeo Simba tusiweke midharau ya kijinga jinga
japo wachezaji wacheze Michuano hii kwa tahadhari sana tusije pata majeraha ikawa taabu
Saa 2 usiku. Imeombwa na wazanzibar mechi iwezwe kutazamwa usiku ili watu wengi wapate burudani ya Simba
Buradani kama hiiOne two zinapigwa usiku wa leo. Tupo na Yanga hapa tunapata burudani
AsanteChipukizi 1 Simba 4
JS Kabilye 1 JS Saouro 0
Pyramids 2 AL Ahly 1
Sio tu mashujaa na wale pimbi waliokua wanawashangilia nkana watakuwepo