allen lugoley
Member
- Nov 5, 2014
- 66
- 37
Wanaumwa! Wamekua wadogo kama pilitoni, tumewakata vidomodomoNaona yanga wako kmy kwel kwel
Wale pimbi wanaohamahama timuSio tu mashujaa na wale pimbi waliokua wanawashangilia nkana watakuwepo
Anaecheka leo atalia chozi la damu keshoChipukizi 1 Simba 4
JS Kabilye 1 JS Saouro 0
Pyramids 2 AL Ahly 1
Halafu hata siwaon hum ndanYanga anapelekeshwa hapa,kama timu ya ndondo
Na hawarudishi hata wapewe dk 150
Ngoja kwenye ligi wakiwepo akina Makambo,Ajibu Ngasa na wengineoNa hawarudishi hata wapewe dk 150
Inamaana bila hao hamshindi!!!!