THREAD ya ku-expose aina tofauti za utapeli unaofanyika ili tusaidiane kutoingia kingi kirahisi.

Kuna wengine wanakuja na mchanga wa dhahabu wanaomba uwasadie unapo uza atakupa kama laki saba hivi
 
Hawa wanojifanya maafisa wa TCRA, wanakwambia huduma kwenye simu yako zimesitishwa. Huwa inafanya je kazi? Maana mimi wamenipigia ili nilijua tu ni tapeli. Nilimchapa maswali Kashindwa kujibu kakata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…