Thread ya kwanza JF kwa mwaka 2023 kwa wote waliofanikiwa kuufikia na kuuona, hapa ndio mahala penu pa kujidai

Happy New year to you all members. Mungu akawabariki siku zote za mwaka 2023
 
I do not know abt you guys, but am telling you TIME is illusion, their is no time at all we are trapped in Giant simulation machine guys. Please listen to me ... Please
 
It's true but. Prove it [emoji17]
 
Ata iwe kama ni sprit!!
 
Tunaendelea tulipoishia, hakuna kupowa, hakuna kuboa, hakuna jipya, mwendo ni ule ule, maznguo na nongwa za 2022 tunaingia nazo 2023 tutaonana wabaya, ubaya ubaya wanetu, hakuna kufarijiana hapa, ubaya ubaya tuu...na tuendelee tulipoishia bila UNAFIKI...let's proceed[emoji16]
1672511506967.jpg
 
Masela wametoboa 2023 alafu mashehe ma mapadri wamesanada 2022 akiwemo kiongozi wao mkuu papa!!
Na kwny mafunfsho yao wanaongoza kuwalaani nakuwatisha wasiofuata nyendo zao kuwa hawatapata baraka ya maisha marefu[emoji16][emoji23][emoji23] chaajabu wao wenyewe na utakatifu wao wanazikwa kwa kejeri na sisi wahuni[emoji16][emoji23][emoji23]...
 
Daaaah mwana umeniua mbavu
 
Daaah mmetema sana nyongo umu
 
Back
Top Bottom