Thread ya list ya wana JF wanaohama Tigo

Thread ya list ya wana JF wanaohama Tigo

Tigo wanakesa. Mimi nipo Airtel long time, wala hamna usumbufu.
 
TIGO
ZANTEL
VODACOM
AIRTEL

Na mitandao mengine yote hakuna mwenye afadhali nasema kwasababu watanzania wengi tunajua kuweka vocha na kupiga simu sidhani kama watu wana tabia ya kufanya uchunguzi baada ya kupiga ameongea kwa muda gani na kwenye simu yake alikuwa na salio kiasi gani na amekatwa kiasi gani kwa muda huo aliongea, mkiambiwa Sh 1 au Sh 2 kwa sekunde huwa mnahakikisha kuwa kweli? Hakuna tofauti yoyote ile nasema hivyo sababu niliishafanya kazi kwenye NOC (Wataalamu wa IT watakuwa wanaelewa namaanisha nini) ya mojawapo ya hawa providers and i know how the game is being played na hawa operators.

Kaka Airtel na Zantel wana kupa SUMMARY ya kila sekunde uliyopiga ukikata tuu simu.
 
Naama leo rasmi Tigo nimeweka vocha ya 2000 nimeongea dakika 14 imeisha huu ni wizi sina pa kulalamika
 
Tigo wezi wakubwa kabisa yani mie najihamia leo......makato yao makubwa mno hapa nahamia Airtel maana hawa jamaa miyeyusho
 
Mimi nahamia tigo maana hao airtel ndo wamekuwa vmeo mwanzo mwisho! nimeongea dk 2 airtel kwenda airtel wamenikata 240, hawa kweli wananitakia mema?
 
Karibuni huku nilipo mimi, kila kitu raha tu, mtanadao wao uko kia kijiji, internet ukigusa tu imeitika, hamieni huku....
 
Back
Top Bottom