Thread ya namba za mafundi magari wazuri mnaosafiri Highway...

Thread ya namba za mafundi magari wazuri mnaosafiri Highway...

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Thread ya namba za mafundi magari wazuri kama unasafiri kwenye highway hasa msimu huu wa sikukuu.

Naanza na fundi Musa +255782147140, ukiharibikiwa kati ya Nzega na Igunga muendeee hewani.

Endelea kuweka namba
 
Wapi miji na mikoa ifuatayo:
Mwanza, Musoma, Tanga,Korogwe, Muheza,Arusha, Moshi,Mtwara, Masasi, Newala, Lindi, Nachingwea, Rufiji, Bagamoyo,Morogoro, Ifakara, Mikumi, Kilosa,Singida,Ikungi, Iramb, Geita, Katoro, Kahama,Shinyanga, Bariadi, Magu, Babati, Mbulu, Katesh, Kyela, Chunya,Songwe, Tunduma, Ileje,Laeila,Sumbawanga, Mpanda, Kigoma nk?
 
Back
Top Bottom