Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Zuchu hamna kitu pale
 
Mwanamke mzima una chuki kwa mwanamke mwenzako
 
Dah ..kwel adui wa wanawake ni wanawake wenyew [emoji16]

Hivi lini mtaanza kupendana ? Ile show we unaona ni yakiwaki? Tena mtu hana experience...Hebu madem mjifunze ku appreciate...Ile show zuchu kafanya poa sana...Mtu kafanya gestures zote, dancing..moves hadi kwa audience , comfortable still unasema hajatawala jukwa....? Uzur show ipo YouTube wala haiitaji hype..
 
Tathmini ya hovyo kuwahi kutokea!
Lugha mbovu ajabu ya kibwengo.
Msiwe nakimbia umande.

ONYESHA SASA KODI ILIYOLIPWA YAANI VAT.
 
Kwanini wewe usimsign huyo Ruby? tatizo la Ruby ana kiburi lakini pia ajui kutunga nyimbo hiyo ndio inafanya awe na nyota ya kunguni
 
Maana tatizo mmempa Nina la malkia wa bongo flavor while she is not. Hafiki hata robo kwa Ruby,achilia mbali kwa Nandy.
 
Mwanamke ampende mwanamke mwenzie kwa malengo yapi?

Madume yanaipigia misele "mbunye" au kichwa chako ram 64mb?
 

JANAMKE unapokua na husuda kwa maendeleo ya mwanamke mwenzio!
Ptuuuuuuuu mate ya usoni.
 
Everything was on point...

Ila umemsahau Dula Makabila.

Huwa simfuatilii wala kusikiliza singeli...ila jana amafanya vizuri sana.

As for Zuchu sina la kuongeza...but she is Money.. I see millions money in her.
Alafu nilimsahau huyu mwamba dula makabila aisee jamaa aliua Sana ila aliyopiga inaitwa classic singeli wakati alivyoitwa kupanda stage nikajiuliza singeli na tukio la event jamaa atafanya Nini? lakini the end of the day amenishangaza Sana.
 
Bro madem hawapendani hata...angalia comment za kike zote ndio negative [emoji16][emoji16]

Alafu wanalilia kuwezeshwa wakati adui wao ni wao wenyew...Very crazy stuffs
Nilishawambia msipoteza muda kubishana na wagumba hao.

Hawana experience ya labor.

Ndo maana mtu anaweza akaja hapa akifikiri anaandika kumbe ana 'bleed'....

Hata hawajui Hadija alivyosuffer hadi mwanae kufika hapo.
 
Maana tatizo mmempa Nina la malkia wa bongo flavor while she is not. Hafiki hata robo kwa Ruby,achilia mbali kwa Nandy.

Wewe Janamke gani una roho mkaa?
Badala wanawake tubebane kubabake umekalia kuchongoa domo lako kumponda mwanamke mwenzio.
 
Maana tatizo mmempa Nina la malkia wa bongo flavor while she is not. Hafiki hata robo kwa Ruby,achilia mbali kwa Nandy.
Achana na hayo majina...Nandy mbona anajiita African Princess

Ile show she did alots...hakuna alietegemea..hata kama kwako ni kidgo basi appreciate hata kidgo mana ndo 1st time hii...kwan nan hajui ruby mkali?

Its all about appreciation my sister...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…