Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Thread ya Show ya "I am Zuchu": Kutoa Tsh. million 5 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaitaji uwe na utajiri wa Bakhresa

Mkuu kama unaona milion 5 nyingi sana, niamin kuna watu million hiyo kwao sio kitu...labda tuweke kweny usd ndio utaona million 5 sio kitu..hizo ni usd 2160 tu

Kama hutak kuamin hilo wala sikulazimish mkuu...ila jua hali si mbaya kama ilivyo kwako na kwangu...

Alafu kuhusu mitaa unafkr ni masaki basi,wala pengine hata mtaan kwako wapo ila huwez jua...go dipper and dipper utakuja ona hizi hela kuna watu wanaingiza kwa saa..kuna siku utakuja kuamin haya...endelea kujiongeza mkuu
Hapana, usiweke kwenye US $, weka tu kwny sh. za kibongo Million 5 sio hela kidogo hata kwa tajiri.
 
Hapana, usiweke kwenye US $, weka tu kwny sh. za kibongo Million 5 sio hela kidogo hata kwa tajiri.
Nimeweka kweny usd coz kweny Tsh naona unashangaa sana mkuu...narudia hiyo hela kubwa kama huna hela mkuu...kama haumin mkuu.. basi tuishie hapa
 
• Wait please....

Hebu kuwa serious kijana, Hata sisi tunaishi mitaani kama wewe, labda kama wewe upo mitaa ya Paris, Milan, Shanghai au Newyork

Hakuna Mtanzania, awe tajiri au Masikini anayeona M5 ni kama elfu 5, never

Na Matajiri ndio wapo sensitive zaidi na pesa na wana uchungu hata na jero

Nimeishi mitaa mingi ya mikoa ya Tanzania, sijaona hao vijana unaosema kutoa Million 5 ni sawa na Elfu 5

Million 5 ni mtaji mkubwa sana

Tena kwa awamu hii sio Mimi tu ila hata wadau hapa hawaoni watu wa hivyo

Please mention their names and streets, ni akina nani hao?

Unaishi nao mtaa upi?

Ding.....Dong...
Huko Buza unapokaa hakuna watu kama hao....lakini huku Kino hiyo ni hela mbuzi
 
Hilo swali jinsi ulivyouliza kama unanifanyia interview ya kipindi 😂.

Zuchu tumpe muda kwa sababu ndo anaanza, haitoshi kusema anahitaji rehersals nyingi zaidi ili azoee na ajijue anatakiwa kufanya nini kwenye stage. Ajifunze kwa jide alichokifanya siku ile.
Hivi Jide kafanya nini cha ziada pale alipoimba na zuchu? Mi cjaona km zuchu kapishana chochote materially na huyo jide kwenye performance ile...kila mtu kaimba verse moja tn kwa kurelax tu.
 
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake. Kuna wengine na degree zao wanapigwa mchana kweupee, wanaambiwa lipa pesa Yesu anakuja. Yaani maisha haya baba we yaache tu.
Hahaha

Ova
 
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake. Kuna wengine na degree zao wanapigwa mchana kweupee, wanaambiwa lipa pesa Yesu anakuja. Yaani maisha haya baba we yaache tu.
dah! punguza ukorofi mkuu.
 
Elf 50 au laki 1 kumuona Zuchu kwenye VVIP inaeleweka, ila million 5 aise kwani naenda kumuona Niki Minaj au?

Zuchu yuko overpriced

Mauzo ya Ticket

Mapato kutokana na Mauzo ya Ticket

Tathmini ya Show

Mahudhurio ya Wasanii tofauti tofauti

wapo hiyo hela ni ndogo sana.
Tatizo lako ni kama mwendaake alishangaa kule Selous kulala siku moja ni milioni 6, eti akaagiza TRA wakachunguze, vipi ripoti ya mwendazake mmeshaipata.

Dar hela ipo sana tu, kriakoo kuna wachagga kwa siku anaingiza milioni 30 dukani, apo hajaweka hesabu za gofofa zake na mabasi, kama huna pita kushoto.
 
• Wait please....

Hebu kuwa serious kijana, Hata sisi tunaishi mitaani kama wewe, labda kama wewe upo mitaa ya Paris, Milan, Shanghai au Newyork

Hakuna Mtanzania, awe tajiri au Masikini anayeona M5 ni kama elfu 5, never

Na Matajiri ndio wapo sensitive zaidi na pesa na wana uchungu hata na jero

Nimeishi mitaa mingi ya mikoa ya Tanzania, sijaona hao vijana unaosema kutoa Million 5 ni sawa na Elfu 5

Million 5 ni mtaji mkubwa sana

Tena kwa awamu hii sio Mimi tu ila hata wadau hapa hawaoni watu wa hivyo

Please mention their names and streets, ni akina nani hao?

Unaishi nao mtaa upi?

Ding.....Dong...
Waache watu mahaba yanawafanya kuwa vipofu huyo anayesema ni sawa na buku 5 yeye mwenyewe hajawahi kuishika hiyo 5m
 
• Wait please....

Hebu kuwa serious kijana, Hata sisi tunaishi mitaani kama wewe, labda kama wewe upo mitaa ya Paris, Milan, Shanghai au Newyork

Hakuna Mtanzania, awe tajiri au Masikini anayeona M5 ni kama elfu 5, never

Na Matajiri ndio wapo sensitive zaidi na pesa na wana uchungu hata na jero

Nimeishi mitaa mingi ya mikoa ya Tanzania, sijaona hao vijana unaosema kutoa Million 5 ni sawa na Elfu 5

Million 5 ni mtaji mkubwa sana

Tena kwa awamu hii sio Mimi tu ila hata wadau hapa hawaoni watu wa hivyo

Please mention their names and streets, ni akina nani hao?

Unaishi nao mtaa upi?

Ding.....Dong...
Mkuu matumizi yanaendana na kipato hapa hupaswi kubisha. Kuna tofauti kati ya kuingiza pesa nyingi na namna ya kutumia hiyo pesa nyingi unayoipata. Kuna watu wanaspend aisee unaweza hisi hamna kesho. Kama mitoko tu ya kawaida ya starehe kuna raia zinamaliza milioni kwa siku how comes m5 kwa show kiwe kitu cha ajabu?
 
Back
Top Bottom