• Wait please....
Hebu kuwa serious kijana, Hata sisi tunaishi mitaani kama wewe, labda kama wewe upo mitaa ya Paris, Milan, Shanghai au Newyork
Hakuna Mtanzania, awe tajiri au Masikini anayeona M5 ni kama elfu 5, never
Na Matajiri ndio wapo sensitive zaidi na pesa na wana uchungu hata na jero
Nimeishi mitaa mingi ya mikoa ya Tanzania, sijaona hao vijana unaosema kutoa Million 5 ni sawa na Elfu 5
Million 5 ni mtaji mkubwa sana
Tena kwa awamu hii sio Mimi tu ila hata wadau hapa hawaoni watu wa hivyo
Please mention their names and streets, ni akina nani hao?
Unaishi nao mtaa upi?
Ding.....Dong...