huyu mama anapenda sana shule sijui nani aliyemkatisha ndoto zakeAmejitahidi kiasi fulani kuongea lugha ya malkia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu mama anapenda sana shule sijui nani aliyemkatisha ndoto zakeAmejitahidi kiasi fulani kuongea lugha ya malkia
Tutoleee utopolo wako hapa zabibu kibaLast Saturday Zuchu alitambulishwa rasmi katika ulimwengu wa Muziki. Huu ni ulimwengu uliojaa vitimbwi na vioja vya kila aina ya ushetani. Huwezi kupata unachokitaka bila kukubali kuishi maisha ya kumtumikia shetani.
Ni lazima ukubali yafuatayo:- Kudhalilisha mwili wako kwa kuvaa nusu uchi, kujirekodi picha za utupu, kutukanana na wenzako mitandaoni, kuishi na mabeef,kufeki maisha ya uongo na kurogana.
Kuimba mziki mzuri pekee havijawahi kumsaidia msanii kudumu kwenye hicho mnachokiita "Game". Ukiingia kwenye fani ya mziki ni kuchagua moja kwa moja kumtumikia shetani. Najua wengi hawapendi kusikia haya lakini huo ndo ukweli. Sawa utamiliki magari,majumba,n.k ila kwa gharama ya kuuza nafsi na utu wako.
Jiulize kwanini V- Money kakimbia huko, huku akikiri wazi Secular music imejaa ushetani! The likes of Ray C, na Mzee Yusufu. Umaarufu wa kimuziki kamwe hautompa mtu furaha zaidi ya msongo wa mawazo na majuto.Shetani ni mjanja sana. Anajua mwanadamu anatamani vitu vya thamani km majumba na pesa. Naye amevitanguliza vitu hivyo machoni kama beit or Trap . Ni kama anakuambia," Take these and serve me". Ila hakuonyesha maumivu yaliyo nyuma ya hivo vitu anavyokupa.
Wengi wanazani wasanii wakubwa wana furaha na kuinjoy maisha si kweli!! Mfano Diamondi mi naona mziki umempa majanga mengi zaidi kuliko kabla ya kuwa mwanamziki.Ni heri angeendelea kuuza mitumba angeishi kwa amani kuliko ilivyo sasa. Mnazani anapenda kuishi na uadui na baba yake? No! That is a Satanic attack which he doesn't know!. Very sad to say that.
Sipo hapa kueleza majanga ya Diamondi ila kwa ufupi thamani ya chozi la furaha ulilolitoa Zuchu wakati ukikabidhiwa gari ya kutembelea, ni mwanzo wa maumivu makubwa ya kiroho na kifikra utakayoyapitia japo kimwili utaonekana umenona. Kama huamini muulize Rachel aliyezaniwa kuwa Ray C mpya bongo atakuambia.Mikel Jackson pamoja na mapesa yake alikufa akiwa hana furaha, Whitney Huston vile vile. Muziki uliharibu kabisa maisha yao.
Muziki ni nyenzo muhimu kwa Shetani kuharibu maisha ya vijana. Kwa watoto wa kike mziki umepelekea wengi kuzalishwa na kushindwa kuolewa. Wengi wameingizwa kwenye utumwa wa ngono na madawa ya kulevya bila kupenda na pindi umaarufu unapoisha ndio hugundua kuwa wamepotea. Wachache sana wanaobahatika kutoka salama.
Ni mbinu hiyo hiyo ndio iliyowasambaratisha Bongo movie na sasa wamechoka hata hawajulikani walipo.Wengi mnawajua si vema kuwataja.
Karibu sana mdogo wangu Zuchu kwenye ulimwengu wa wasanii uliojaa ushetani.
Vitu vingi alivyoviongea mtoa mada havina ushahidi Bali Ni hisia zake binafsi Hana tofauti na wale wanaosema matajili wengi wanafanya biashara ya madawa ya kulevya au ile kauli tulioaminishwa kwamba Ridhiwani kila Mali anamiliki yeye Mara tukaambiwa ana miliki station za mafuta hapa town, Mara ana miliki makampuni ya madini n.kUmeongea fact sema shida wakina zuchu wapo humu kuteteana
Sijui hata wanaanzaje kubisha sasa
Yaan busy unamtetea shetani
Hiyo ni sector ya shetan 100%
Au mnataka kuniambia wanamtukuza mwenyez mungu hao
Usihalalishe ubaya Kisa umeshindwa kuutenda wema
Nuru na giza havijawahi kaa pamoja.I expected this kind of reaction. I think critical people have grasped something from I said.Vitu vingi alivyoviongea mtoa mada havina ushahidi Bali Ni hisia zake binafsi Hana tofauti na wale wanaosema matajili wengi wanafanya biashara ya madawa ya kulevya au ile kauli tulioaminishwa kwamba Ridhiwani kila Mali anamiliki yeye Mara tukaambiwa ana miliki station za mafuta hapa town, Mara ana miliki makampuni ya madini n.k
Mawazo ya kimasikini.Last Saturday Zuchu alitambulishwa rasmi katika ulimwengu wa Muziki. Huu ni ulimwengu uliojaa vitimbwi na vioja vya kila aina ya ushetani. Huwezi kupata unachokitaka bila kukubali kuishi maisha ya kumtumikia shetani.
Ni lazima ukubali yafuatayo:- Kudhalilisha mwili wako kwa kuvaa nusu uchi, kujirekodi picha za utupu, kutukanana na wenzako mitandaoni, kuishi na mabeef,kufeki maisha ya uongo na kurogana.
Kuimba mziki mzuri pekee havijawahi kumsaidia msanii kudumu kwenye hicho mnachokiita "Game". Ukiingia kwenye fani ya mziki ni kuchagua moja kwa moja kumtumikia shetani. Najua wengi hawapendi kusikia haya lakini huo ndo ukweli. Sawa utamiliki magari,majumba,n.k ila kwa gharama ya kuuza nafsi na utu wako.
Jiulize kwanini V- Money kakimbia huko, huku akikiri wazi Secular music imejaa ushetani! The likes of Ray C, na Mzee Yusufu. Umaarufu wa kimuziki kamwe hautompa mtu furaha zaidi ya msongo wa mawazo na majuto.Shetani ni mjanja sana. Anajua mwanadamu anatamani vitu vya thamani km majumba na pesa. Naye amevitanguliza vitu hivyo machoni kama beit or Trap . Ni kama anakuambia," Take these and serve me". Ila hakuonyesha maumivu yaliyo nyuma ya hivo vitu anavyokupa.
Wengi wanazani wasanii wakubwa wana furaha na kuinjoy maisha si kweli!! Mfano Diamondi mi naona mziki umempa majanga mengi zaidi kuliko kabla ya kuwa mwanamziki.Ni heri angeendelea kuuza mitumba angeishi kwa amani kuliko ilivyo sasa. Mnazani anapenda kuishi na uadui na baba yake? No! That is a Satanic attack which he doesn't know!. Very sad to say that.
Sipo hapa kueleza majanga ya Diamondi ila kwa ufupi thamani ya chozi la furaha ulilolitoa Zuchu wakati ukikabidhiwa gari ya kutembelea, ni mwanzo wa maumivu makubwa ya kiroho na kifikra utakayoyapitia japo kimwili utaonekana umenona. Kama huamini muulize Rachel aliyezaniwa kuwa Ray C mpya bongo atakuambia.Mikel Jackson pamoja na mapesa yake alikufa akiwa hana furaha, Whitney Huston vile vile. Muziki uliharibu kabisa maisha yao.
Muziki ni nyenzo muhimu kwa Shetani kuharibu maisha ya vijana. Kwa watoto wa kike mziki umepelekea wengi kuzalishwa na kushindwa kuolewa. Wengi wameingizwa kwenye utumwa wa ngono na madawa ya kulevya bila kupenda na pindi umaarufu unapoisha ndio hugundua kuwa wamepotea. Wachache sana wanaobahatika kutoka salama.
Ni mbinu hiyo hiyo ndio iliyowasambaratisha Bongo movie na sasa wamechoka hata hawajulikani walipo.Wengi mnawajua si vema kuwataja.
Karibu sana mdogo wangu Zuchu kwenye ulimwengu wa wasanii uliojaa ushetani.
Umeeona kimombo cha professor Zuwena kutoka Harvard? Mbunge mtarajiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka hadi tumbo limeuma.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shishi maconfidence