Thread Ya Vitu / Mambo uliyochelewa Kufahamu!

Thread Ya Vitu / Mambo uliyochelewa Kufahamu!

Nilikua najua kuwapenda wengine kwanza..kumbe natakiwa kujipenda mimi kwanza.!
 
Wanasema ukikaribia kuwajua hawa wenzetu unakaribia kufa. Nyie mnasemaje kwenye hili?
 
Back
Top Bottom