motivation Member Joined Feb 17, 2019 Posts 90 Reaction score 50 Nov 5, 2019 #21 Kilangi masanja said: Tunda alilokula Adam hawa nilikua nikiuliza ni tunda gani bila kupata majibu but now ni mwaka wa sita tu tangu nilijue hili. Click to expand... Bado hujalijua! endelea kufanya utafiti.
Kilangi masanja said: Tunda alilokula Adam hawa nilikua nikiuliza ni tunda gani bila kupata majibu but now ni mwaka wa sita tu tangu nilijue hili. Click to expand... Bado hujalijua! endelea kufanya utafiti.
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,962 Reaction score 70,576 Nov 5, 2019 #22 Nilikua najua kuwapenda wengine kwanza..kumbe natakiwa kujipenda mimi kwanza.!
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,550 Reaction score 39,949 Nov 5, 2019 #23 Wanasema ukikaribia kuwajua hawa wenzetu unakaribia kufa. Nyie mnasemaje kwenye hili?