Thread za Babu Loliondo

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Ndugu zanguni nimeona Babu akiwa anaponya magonjwa makubwa ya ukimwi kisugar na moyo figo na mengineyo..binafsi nimeonyeshwa kuanzishwa loliondo ya makapera kuwaponya roho zao na waleo waliofungiwa kwenye maisha ya ndoa na watoto kwa ujumla sitoitaji 500 kama babu bali ntaitaji maombi yako kwa mUngu anipe ufaahamu jinsi ya kukupa uponyaji wako kabla ya kuingia kwenye ndoa takatiiifuu ya milele ili na wewe uwe na uhakika wa kumwona mungu ukiwa kwenye ndoa badala ya kuwa kama wazazi wako/wake wanaokuja kukutana kwenye ndoa za watoto wao wapendwa kila mtu akitokea kunajisi mwili wake kutoka kwa nyumba ndogo walizoamua kuishi nazo milele badala ya waliotangaza kanisan kwa shida na raha
 
tunatoa msaada kwa kutumia email
denismandia@yahoo.com
karibu sana ...moto wangu ni maombi yako kwangu kuweza kuomba NDOA za watu zidumu milele na zisiwe ndoa za kulizana ama kugaiana mali kabla ya kufa
 

Mchungaji mstaafu Ambilikile Mwasapile, maarufu kwa jina la Babu, akitoa dawa kuwahudumia baadhi ya wateja wake waliofika kupata tiba ya magonjwa mbalimbali.


Wakati wagonjwa wanaokwenda kusaka dawa kwa

JAMANI NILIHISI UKIMWI PEKEE KUNA FAMILIA ZA NDOA ZIMERUDI KAMA UJANANI WAPENDWA
MAJUZI KUNA WAZEE WALIENDA UKO WAMERUDI WANASEMA YAANI WAMEPOKEA NGUVU ZA AJABU TANGU WALIPOKUNYWA ILE DAWA..AKIKA YULE BABU NOMA ALISEMA BABA MMOJA W MAKAMU..YAANI TANGU NIPATE KISUKARI NIMEKUWA KAMA SUPER GET LAKINI NILIPOKUNYWA MAJUZI MPAKA MKE WANGU AKASHANGAA AKAULIZA WEWE ULIENDA KWA BABU TU KWELI??MBONA NA MIE WANRUDISHA UJANANI

WAPENDWA MLIOPOTEZA RAHA ZA UJANANI RAHA YA NDOA NENDENI MSIANGALIE GARAMA BABU ANARUDISHA NDOA YAKO UPYA WEWE KUWA NA IMANI BASIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

KILA LA KHERI USIJALI IMEKUWA SUPERGET MIAKA MINGAPI JALI UPONYAJI UPO NA UNAENDELEA KUWEPO USIWE KAMA WASIOAMINI KAMA WAZIRI WA AFYA DK SIJUI AMEUPATAIA WAPI UDK HUU ..
 
Binafsi niliongelea na dk manyuki jana akakiri babu noma na yeye yuko njian kuelekea arusha loliondo kuongeza nguvu za uponyaji unaweza ona farasi na mpanda farasi..je wewe wasubiri nini??wahi haraka sasa
 
tehetehe si mchezo watu watazidi kwenda hukoooooooo mamia kwa mamiaa akina kakobe watadoda hapa mjini na magumashi yaoo
 
M mwisho wamwezi jamani naona mungu kasikia sauti na maombi yangu form ya kukubaliwa likizo imerudishwa sasahivi siku 20 namalizi kwa babu mwenye kunipa kampani anaruhusiwa ni denismandia@yahoo.com twenden na vikombe na maji anayosema waziri wao machafu..ndesamburo kashatupelekea helikopta usiogope kuzidiwa inakurusha bure mpaka muhimbili...twenden tukaponye ndoa zetu unajua yawezekana... Babako aliachana na mamako,bibi akaachana na babu yako ..leo hii unateseka ujui chanzo unabaki kukesha kanisani utakesha mpka dunia ishuke babu kaja na majai ya imani nenda ukanywe aiitaji uoge kusafisha dhambi a ukoo wako ...kuwa na imani ukinywa kuachana akutakiwa kwako in jesus name...wewe unaoa mama na baba wanakuja kukutania harusini..na babako na mama kowalipooana babu na bibi walishaachana wanakuja kukutania arusini....ndoa yako unataraji nini kama si kichekecho nenda ukaaribu src sio kukimbilia soln..soln zingine za muda ...

Nenda loliondo fasta
 
Waongo anafunga jumatatu na ijumaa tu na hizi siku watu wamekubali kushinda bure siku zingine kama kawaida ..kusitisha serikali ikiongozwa na mkuu wa arusha wamekiiri awawezi kusimamisha huduma ya kiroho ..wanasimamisha za kimwili tu sasa wala linalohusu iman wao aliwahusu na awawezi tumia magazeti kutekeleza maagizo watakachofanya ni kuweka utaratibu watu wanywe kwa muda na si kundi ili wasiwezemdhuru babu kwa wingi wao

iwahishe hiyo mkuu
 

Nitajitahidi niende ila umri nao umekwenda muno 53yrs
 
Mimi nahisi natakiwa huko kunusuru hii ndoano. ila nasikia hakuna kupangiwa foleni ni lazima upange mwenyewe yan huko hakuna kulobi hata uende na helkopta
 
Bahati mbaya sina hayo magonjwa sugu wala si mzee . . .
 
Inawezekana manake kisukari huwa kiaathri nguvu za kiume, so kama mtu umepona kisukari unakuwa rijali tena hivyo kufurahia life na mama watoto. Babu ashukuriwe.
 
Waziri wa afya si anaendeleza udini wa JK... aache watu wapate tiba, nguvu zirudi wafurahie ndoa. Babu oyeeee...
 
Bahati mbaya sina hayo magonjwa sugu wala si mzee . . .

He! CPU kumbe kutokuwa na magonjwa sugu ni bahati mbaya, mi nilikuwa nafikiri vinginevyo. Kweli afya yako iko fit, huumwi hadi unajiona unabahati mbaya. Mshukuru Mungu, watu wanaumwa humu duniani hadi wanamuomba Mungi awatwae haraka we acha tu...
 
Habari hii inaweza kuwa hapa si mahali pake ila ni mahali ambapo inaweza kupata wachangiaji wengi na makini.

Nimekuwa nikifuatilia sana haya matibabu ya mtumishi wa Mungu, Babu wa Loliondo. Kutokana na shuhuda zinazotolewa kwenye vyombo vya habari inaonekana kuwa hii dawa imewasaidia wengi. Je kuna mwana-jamii forum aliekwenda kwa Babu na kupata dawa? Kama yupo ninamuomba atupe ushuhuda hapa kwamba alienda kwa Babu Loliondo kupata kikombe na amepona? Tupeane shuhuda hizo, ili iwe changamoto kwa wale ambao hawajaenda wapate mshawasha wa kwenda.

La pili, je dawa hiyo atoayo Babu wa Loliondo inauwezo wa kuleta heshima ndani ya ndoa, nikiwa na maana kuongeza nguvu za kiume na za kike?

Ninawatakia safari njema kwa wale wote waliopo safarini au wenye mpango wa kwenda kupata tiba kwa Babu Loliondo. Na waliopata dawa nawatakia kupona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…