Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Ndugu zanguni nimeona Babu akiwa anaponya magonjwa makubwa ya ukimwi kisugar na moyo figo na mengineyo..binafsi nimeonyeshwa kuanzishwa loliondo ya makapera kuwaponya roho zao na waleo waliofungiwa kwenye maisha ya ndoa na watoto kwa ujumla sitoitaji 500 kama babu bali ntaitaji maombi yako kwa mUngu anipe ufaahamu jinsi ya kukupa uponyaji wako kabla ya kuingia kwenye ndoa takatiiifuu ya milele ili na wewe uwe na uhakika wa kumwona mungu ukiwa kwenye ndoa badala ya kuwa kama wazazi wako/wake wanaokuja kukutana kwenye ndoa za watoto wao wapendwa kila mtu akitokea kunajisi mwili wake kutoka kwa nyumba ndogo walizoamua kuishi nazo milele badala ya waliotangaza kanisan kwa shida na raha