Thread za football zinazofanya vizuri Jamii forum katika jukwaa la michezo

Thread za football zinazofanya vizuri Jamii forum katika jukwaa la michezo

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,379
Kila Thread ina watu wake maarufu maarufu na wale watembezi kutoka thread nyingine kwenda kuwazodoa wenzao au kutoa pongezi, pole na utani wa hapa na pale kama ilivyo Ada ya michezo hasa Mpira wa miguu

1- Manchester United mashetani wekundu (91K)

2- Arsenal washika bunduki (60K)

3- Chelsea FC wazee wa darajani (50K)

4- Liverpool majogoo wa anfild (44K)

5- Real madrid vijana wa bernabeu (38K)

6- Barcelona FC wazee wa katalonia (24K)

7- Manchester City watoto wa mjini (6K)

8- Juventus vibibi vizee vya turini (3K)

9- Simba SC wajanja wa town (3K)

10- Yanga SC watoto wa jangwani (2K)

Mlioko kwenye hizi thread mjue mko wapi pamoja na kuchart kwenu kote

Asanteni sana Jamii forum kwa jukwaa hili la michezo

Yawezekana ni jukwaa ambalo kama humuoni mtu kwenye majukwaa mengine njoo mtafute humu utampata
Linabeba kila aina ya watu

E&K
 
Back
Top Bottom