Thread za JamiiForums zilizokuwa mbele ya muda

Thread za JamiiForums zilizokuwa mbele ya muda

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
18,960
Reaction score
67,654
Zifuatazo ni threads (nyuzi) za Jamii Forums zilizokuwa mbele ya muda (zilizotabiri yajayo)

Sijajua kama ni kipawa tu cha mtu au ni sehemu ya maamuzi wa ya watu wa ndani ya mfumo.







Iheshimu sana JamiiForums.com ni zaidi ya mtandao...
 
Tofauti kubwa ninayoipata sasa mahali hapa ni wingi wa waanzisha NYUZI.

Imekuwa kasumba sasa ya kila mtu kuandika chochote anachofikilia katika ubongo wake. Hii inapoteza mvuto na kupunguza kabisa wingi wa uchangiaji maoni katika NYUZI bora. Nyuzi kama hizi zilizotolewa mfano unaweza usizione kwa halaka kipindi hiki kwa sababu ya traffic 🚥 kubwa sana ya NYUZI za ovyo ovyo kila baada ya dakika moja.

Tuiache JF ibaki kama ilivyokuwa kabla hatujaifahamu.
 
Tofauti kubwa ninayoipata sasa mahali hapa ni wingi wa waanzisha NYUZI.

Imekuwa kasumba sasa ya kila mtu kuandika chochote anachofikilia katika ubongo wake. Hii inapoteza mvuto na kupunguza kabisa wingi wa uchangiaji maoni katika NYUZI bora. Nyuzi kama hizi zilizotolewa mfano unaweza usizione kwa halaka kipindi hiki kwa sababu ya traffic [emoji614] kubwa sana ya NYUZI za ovyo ovyo kila baada ya dakika moja.

Tuiache JF ibaki kama ilivyokuwa kabla hatujaifahamu.

Relax, mtu akiwa kichwa kibovu atakutana na nyuzi mbovu , ila kichwa kikiwa tulivu utakutana na nyuzi zenye utulivu wa akili

So JF ni uwanja mpana wapo wanaokuja kuelimika na kuburudika so utulivu uendelee

Hauwezi ukawa bright ukaenda kwenye nyuzi za hovyo ndio maana kukawa na option unataka nyanja gani? ya siasa au za mabadiliko nk

JF choice is yours
 
Mbona sijauona ule uzi wa mtabiri Covid19 aliyetabiri matokeo sahihi mechi ya Vipers vs Simba na ile ya Real Bamako vs Yanga?
 
Kitendo cha akaunti yangu kutokujulikana na yeyote yule katika huu ulimwengu huu huwa kinanipa raha sana.
 
Back
Top Bottom