SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,265
WanaJF wengi wana avatar zinazowabainisha hapa Jamiiforums. Nyingi ya avatar hizi ni sura za watu, passport size.
Kinachonitokea kwangu ni kwamba nisomapo thread ya mtu, na mtu huyo ana avatar ya sura ya mtu,
naunganisha thread hiyo na hiyo sura na kuhisi mfanano mkubwa kati ya sura hiyo na thread.
Labda nitoe mfano wa uzoefu wangu juu ya hilo.Nimekuwa nikimsoma sana mdau mmoja maarufu MMU: lara1.
Kwangu, avatar alokuwa akitumia iliendana sana na thread zake lakini hivi karibuni kabadili avatar ambayo haiendani tena na hizo thread.Ndivyo ninavyohisi. Je wewe wapata au hupati hisia zozote kati ya thread na avatar ya sura?