Thread za JF na Avatar zenye sura za watu

Thread za JF na Avatar zenye sura za watu

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,265
WanaJF wengi wana avatar zinazowabainisha hapa Jamiiforums. Nyingi ya avatar hizi ni sura za watu, passport size.
Kinachonitokea kwangu ni kwamba nisomapo thread ya mtu, na mtu huyo ana avatar ya sura ya mtu,
naunganisha thread hiyo na hiyo sura na kuhisi mfanano mkubwa kati ya sura hiyo na thread.

Labda nitoe mfano wa uzoefu wangu juu ya hilo.Nimekuwa nikimsoma sana mdau mmoja maarufu MMU: lara1.
Kwangu, avatar alokuwa akitumia iliendana sana na thread zake lakini hivi karibuni kabadili avatar ambayo haiendani tena na hizo thread.Ndivyo ninavyohisi. Je wewe wapata au hupati hisia zozote kati ya thread na avatar ya sura?
 
We wala sio.....mpaka nimeondoka Arachuga bhana
Madame B wewe na hilo dude linachezea keyboard wala haliendani na wewe!Badili avatar bana! Au kwa kuwa hata wewe
unachezeaga..........................?
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli, ukizoea avatar halafu ikibadilishwa inaleta tabu kidogo
 
Umesema dada! Avatar ya mwanzo ndo yenyewe, hii ya sasa imezubaa mno haiendani na vibrancy ya threads.

Hata wewe ulivyobadili ile ya mwanzo napata shida kukutambua japo mimi sijaweka kabisa
 
WanaJF wengi wana avatar zinazowabainisha hapa Jamiiforums. Nyingi ya avatar hizi ni sura za watu, passport size.
Kinachonitokea kwangu ni kwamba nisomapo thread ya mtu, na mtu huyo ana avatar ya sura ya mtu,
naunganisha thread hiyo na hiyo sura na kuhisi mfanano mkubwa kati ya sura hiyo na thread.

Labda nitoe mfano wa uzoefu wangu juu ya hilo.Nimekuwa nikimsoma sana mdau mmoja maarufu MMU: lara1.
Kwangu, avatar alokuwa akitumia iliendana sana na thread zake lakini hivi karibuni kabadili avatar ambayo haiendani tena na hizo thread.Ndivyo ninavyohisi. Je wewe wapata au hupati hisia zozote kati ya thread na avatar ya sura?

Upo sawa.
Haya na wewe lakini, Hii yako ndio wewe mwenyewe 'mzee wa majuu'?
 
Upo sawa.
Haya na wewe lakini, Hii yako ndio wewe mwenyewe 'mzee wa majuu'?
Hasa ndiye mimi dalalitz kuna kijana wangu walinipiga tukiwa shambani kwenye palizi.
btw, mimi ni wa hapahapa si majuu! Naishi Naibili wilayani Siha.
 
Last edited by a moderator:
habari zenu wapendwa,hope maandalizi ya weekend hii ndefu yanaenda vizuri.....
Kwa kawaida kama binadamu huwa tunatokea kuvutiwa na michango ya members wenzetu kwa namna moja au nyingine, ni jambo jema na binafsi kuna baadhi ya watu wananivutia kwa michango ya mawazo wanayotoa humu jf,lakini mara nyingi kuvutiwa na mawazo ya mtu huambatana na avatar anayotumia mtu Hahahaa jamaniii nisirushiwe mawe kwa nnachotaka kukisema but atleast am honest here.....kusema kweli kuna wakati tunavutiwa na avatar,lolest
shida inakuja siku unakutana na member avatar yake aliweka mkaka mmoja HB na eight packs zake lahaula tobaaa kitambi hicho ka chungu teh teh sio vizuri hivyo mnatushtua jamani au dada aliweka mdada mmoja mrembo rangi ya jogoo ukikutana nae ni cheusi mangala eeh na mtu alijiandaa kumuona chawhite....wewe unajijua ni mzee ila umeweka picha ya kijana,unatuchanganyaaa yani full mixer...
binafsi hio avatar kidogo inasadiki nilivyo,cheusi mangala,hebu tuelezane kwanini ulichagua avatar hio unayoitumia?labda kuna mengi wengine tusiyoyajua,mwageni experience zenu...
 
Back
Top Bottom