Thread za JF na Avatar zenye sura za watu

Too bad PM can't go through .. Zimestuck on the way .. Keep on waiting , probably you will get lucky one day.... Thanks..
Make impossible things to be possible. I'll call you "champ" .

. Lady why zime stuck??? Make sure nazipata ASAP
 
Okay dear , nimeelewa now.. Honestly sikuelewa maana ya avatar yako haswa uliposema ndivyo ulivyo.. People who are Left handed , they are very Blessed ... So you are Blessed dear .. Thanks..
Watu wengine wana bahati ya kuitwa maneno mazuri!!!!!!! dear za kutoshaaa...ashindwe kunenepa tu
 
hahaha ati shape na sura ya mjomba, haha duh...at least watu wanapata picha heaven ni black beauty lol
hahahah usinitafutie balaa ndugu yangu, sasa hiyo sura na shape vya mjomba afu useme ndo black beauty mwee. Nawapenda tu black beauty ila genes za kinyaki zimenipenda zaidi[emoji85] [emoji85]
 
hahahah usinitafutie balaa ndugu yangu, sasa hiyo sura na shape vya mjomba afu useme ndo black beauty mwee. Nawapenda tu black beauty ila genes za kinyaki zimenipenda zaidi[emoji85] [emoji85]
Binafsi nafananisha sana comments na thread zako na sura ya avatar yako
 
Avatar yangu, username yangu na comments zangu zinasemaje kuhusu mie???!🙄
 
 
Nimeichagua hiyo avatar coz rangi yangu haina tofauti sana na hiyo picha ya kwenye avatar, simple like dat.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…