Thread za JF na Avatar zenye sura za watu

Thread za JF na Avatar zenye sura za watu

Du kitambi changu mtaani kinanipa heshima huku kinasemwa eti kama chungu
 
Hii kesi nishakutana nayo sana humu jf aiseeee......
Wapo tunao fahamiana na wananiambia kabisa kwamba hawaku wahi kuvutiwa na Avatar yangu. Na hii imekua chachu ya kunifanya nisikaribishe kabisa wazo la kutaka kubadili avatar kwasababu ndio nazidi kuona kwamba ni kitu flani unique kinacho nitambulisha.[emoji12] [emoji12]
 
Kumbe hii ni ms chagga sibling? basi nimekwishiney sio kwa kufliska huku hahahahaha......any way ngoja nijikakamue
dnt worry swrrrry i will check her soon regarding the same.
Dear, ms chagga is ready to receive all her accounts are ready for you... Honey Did you do it already? Or more time is needed?.. Thanks..
 
Mkuu na harakati kama za Ghost?!
Mh harakati za Ghost [emoji119] " naisubiria season 3 kwa hamu sana..
508a8dda35327ead9182fb6fd18d0a3c.jpg
 
JF nimewakubali kuzuia watu kubadilisha badilisha majina. Kwingine sina tabu napo.
 
Back
Top Bottom