Threads 1,000 hazitoshi ku-prove ubaya wa Magufuli bali fact moja tu

Anayesema ni chizi nk. Anageneralise tu bila evidence. Wakati Mwingine tunapuuza tu.
Lakini kusema kuna mambo alikuwa wrong hiyo inaelezeka. Nimekuelewa sana ila wtz wengi huishi kwa kuamini zaidi kuliko hali halisi ya mambo. Hii ndio maana ubishi umetawala sana akili zetu.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
JPM tunakosea sana kumhukumu. Hata angeamua kugueza Ikulu ya DSM kuwa Bar au kiuiuza kabisa. Hakuna ruhusa kumshitaki popote. Ndio katiba yetu

Hivyo mjadala wote hapa na comment zote mkumbuke hilo. Yeye hakuwa malaika.
 
Mimi nilifuatilia kwa makini sana Kampeni za Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Kwa kawaida wakati wa Kampeni ndipo huwa zinaibuliwa kashfa lukuki za wagombea, lakini sikusikia hata kashfa moja ikimlenga Magufuli.
Hii inamaanisha kwamba, Magufuli hakuwahi kuwa na kashfa yoyote. Sasa kama ilishindikana wakati huo, itawezekana leo kumbambikia makosa JPM? La hasha, haiwezekani kabisa.
Hata waungane watu 5000 na zaidi kujaribu kufuta Legacy ya JPM hawataweza hata kidogo.
RIP, BABA YETU,JPM.
 
Magufuli ataishi milele na milele,
na walio muondoa wamempa heshima ya kukumbukwa
zaidi kama askari wa mstari wa mbele aliyefia kwenye uwanja wa vita.
 
Legacy yake HAIFUTIKI.

Wale wanaomuonea wivu kwa kazi kubwa na nzuri alizofanya wanaHAHA
 
Sasa threads zimefika 10,000 na bado hazijaprove ubaya wa Magufuli...
Sisi kama msoga gang tufanye nini zaidi!!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…