love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
- Thread starter
- #261
Mungu amrehemu MAGUFULI WETU.Wabongo wanapenda kufwata mkumbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu amrehemu MAGUFULI WETU.Wabongo wanapenda kufwata mkumbo
Anaweza asiwe na matatizo ya akili , bali ni mnufaika na ukatili huoAsiyeona uovu, ukatili, uuaji na ujambazi wa Magufuli atakuwa na matatizo ya akili
Ukatili upi huo???Anaweza asiwe na matatizo ya akili , bali ni mnufaika na ukatili huo
Wakati naishi uswahilini nyumba zenye watoto vibaka zilikuwa zinapata backup kubwa kutoka kwa wazazi wao ,
Ukiona mtu anantetea sana uhalifu jua ana faida nao.
Kama ni kuwahukumu wapinzani wa magufuli kwa facts zipo zaidi ya 1000. Moja katoa aliyekua katibu mkuu wa chadema drr slaa. Kumbe walikua wanatekana hata kuuana halafu wanasingizia wametekwa na kuuliwa na magufuli.Einstein kwenye kitabu chake akiwajibu hundred authors against Einstein anasema "If I was wrong one could be enough" akiwa na maana kama ningekuwa siko sahihi basi mtu mmoja tu angetosha kuni-prove wrong.
Alisema hakutegemea mamia ya watu ili kumprove wrong bali fact moja tu inatosha kumprove wrong na kuonesha makosa yake.
Licha ya threads zaidi ya 1000 kuanzishwa jukwaani hapa lakini bado zimefeli ku-prove ubaya wa Magufuli na kuonyesha
udhalimu na ukatili Magufuli aliofanya kwa uthibitisho.
Kama asemavyo T. Shakur "truth is too plain to see" rivals wake kuanzia upinzani, CCM, bungeni, wanaharakati, mitandao ya kijamii,
hata mataifa ya magharibi bado wamefeli kuprove ubaya wa Magufuli.
Inahitajika thread moja tu yenye facts kuprove ubaya wa Magufuli na sio thread 1000 kama sasa.
Kama kweli Magufuli ni mkosaji basi nilitegemea mtu mmoja tu angetosha kuonyesha ubaya wa Magufuli kwa fact
na sio hearsay.
NB: Tumhukumu Magufuli kwa facts na sio porojo.
Chachawangwe umemsahau..Kama ni kuwahukumu wapinzani wa magufuli kwa facts zipo zaidi ya 1000. Moja katoa aliyekua katibu mkuu wa chadema drr slaa. Kumbe walikua wanatekana hata kuuana halafu wanasingizia wametekwa na kuuliwa na magufuli.
Sabaya alitoa chozi siku ya msiba wa mwendazake!! Wanna know why? Alijua ule ukatili ambao sasa unamtia hatiani ndo ulikuwa mwisho wakeUkatili upi huo???
Mtu kukwambia ukweli na kusimamia sheria na haki ndio ukatili!?
Kuna nchi inayoongoza kwa watu kujinyonga kama Japani..?
Mnachukulia lazy as a fair.