Threads 1,000 hazitoshi ku-prove ubaya wa Magufuli bali fact moja tu

Asiyeona uovu, ukatili, uuaji na ujambazi wa Magufuli atakuwa na matatizo ya akili
Anaweza asiwe na matatizo ya akili , bali ni mnufaika na ukatili huo
Wakati naishi uswahilini nyumba zenye watoto vibaka zilikuwa zinapata backup kubwa kutoka kwa wazazi wao ,
Ukiona mtu anantetea sana uhalifu jua ana faida nao.
 
Ukatili upi huo???
Mtu kukwambia ukweli na kusimamia sheria na haki ndio ukatili!?
Kuna nchi inayoongoza kwa watu kujinyonga kama Japani..?
Mnachukulia lazy as a fair.
 
Kama ni kuwahukumu wapinzani wa magufuli kwa facts zipo zaidi ya 1000. Moja katoa aliyekua katibu mkuu wa chadema drr slaa. Kumbe walikua wanatekana hata kuuana halafu wanasingizia wametekwa na kuuliwa na magufuli.
 
Chachawangwe umemsahau..
Chadema ni silent killers.
 
Ukatili upi huo???
Mtu kukwambia ukweli na kusimamia sheria na haki ndio ukatili!?
Kuna nchi inayoongoza kwa watu kujinyonga kama Japani..?
Mnachukulia lazy as a fair.
Sabaya alitoa chozi siku ya msiba wa mwendazake!! Wanna know why? Alijua ule ukatili ambao sasa unamtia hatiani ndo ulikuwa mwisho wake
 
Kizuri kinajiuza kibaya kinajitembeza sasa endeleeni kujitembeza kuonesha ubora wa mungu mtu wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…