Threads ya instagram imechukua mfumo wa JamiiForums

Threads ya instagram imechukua mfumo wa JamiiForums

Joined
Dec 10, 2020
Posts
15
Reaction score
14
Wanajamii Forums, Instagram wametambulisha app mpya ya threads lakini tangu muda wanajamii F, wanaposti nyuzi zao.

Hili si wazo geni kwa WanajamiiForums je inawezekana Instagram wamechukua wazo lile lile? Hoja iko mezani.
 
Picha video basi ujazie nyama nyama tuone tujipakulie na sisi au tupe link tukajimix

404: Page Not Found
 
Kuna mitandaoni nadhani mpaka siku naondoka Duniani sijui kama nitatumia, kwa kweli nimeshindwa


Facebook nilijaribu kufungua 2015 nikashindwa kutumia

Instagram nilijaribu kufungua 2015 sidhani kama hata miezi 2 ilifika nikaiacha mwaka huo huo

Twitter nilifungua na kuiacha 2014

Tik tok kiukweli huu ndo hata siujui nausikia kwa watu tu

Jamii forum nilikuwa naifatilia kitambo ndio ikaniteka, by 2019 nika join. Nadhani huu ndo mtandao ulionivutia zaidi.
 
Yale yale ya Signal kushindana na Whatsapp sasa hivi sijui hata vimeishia wapi
 
Mapambano yaendelee.

Twitter kuishtaki Meta.
 

Attachments

  • Screenshot_20230706-212446.jpg
    Screenshot_20230706-212446.jpg
    31.4 KB · Views: 4
Back
Top Bottom