Reality Master
Member
- Dec 10, 2020
- 15
- 14
Mpwayungu Village njoo hukuWanajamii Forums, Instagram wametambulisha app mpya ya threads lakini tangu muda wanajamii F, wanaposti nyuzi zao, hili si wazo geni kwa wanajamii Forums je inawezekana Instagram wamechukua wazo lile lile? Hoja iko mezani.
Na unatumia namba ya simu kufungua akaunti sio emailUnatumia Id za kawaida
Jifarij tuUbora na upekee wa jf ni usiri wa kumlinda mchangiaji. Instagram hakuna usiri! Poyuka kama unavyopayuka hapa jf uone cha mtemakuni!!