Tatizo lako wewe unazungumza bila kutumia akili, kwanini usiwe unafikiria kwanza kabla ya kuandika?, hivi hujui kwamba unashusha heshima yako?, katiba ipi unayoizungumzia hapa, wakati miaka miwili iliyopita nchi zote za EAC zilikubali na kuweka sahihi kwenye huo mkataba wa kuzuia nguo za mitumba kuanzia 2019, Uhuru Kenyatta mwenyewe aliweka saini yake, ina maana alikuwa haijui hiyo katiba, au ilikuwa hiyo katiba haipo?, acha kujifanya unavuta bhangi mchana, imeelezwa hapo kwamba Kenya iliamua kujitoa baada ya Marekani kutoa vitusho, wewe unakimbilia katiba, kila kitu mnakimbilia katiba hairuhusu,
1)Ukabil- katiba hairuhusu kuondoa ukabila
2)Rushwa- Katiba haimpi mamlaka rais kupambana na rushwa
3)Njaa- Katiba hairuhusu wananchi kuzalisha chakula
4)Police killings - Katiba hairuhusu serikali kuzuia police killings
5)Stupid Kenyans