pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Hukujua nakuwaga member wa kile kikundi haramu cha, F#*K America! Ila watz mnatuponda sana kuhusu marufuku ya mitumba, wakati ndo serikali inajaribu kufufua vile viwanda vya zamani kwanza. Afadhali nivalie 'Made in Tanzania' kuliko hayo mauchafu yao!Leo kwa mara ya kwanza umeanza kuzungumza[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Tatizo lako wewe unazungumza bila kutumia akili, kwanini usiwe unafikiria kwanza kabla ya kuandika?, hivi hujui kwamba unashusha heshima yako?, katiba ipi unayoizungumzia hapa, wakati miaka miwili iliyopita nchi zote za EAC zilikubali na kuweka sahihi kwenye huo mkataba wa kuzuia nguo za mitumba kuanzia 2019, Uhuru Kenyatta mwenyewe aliweka saini yake, ina maana alikuwa haijui hiyo katiba, au ilikuwa hiyo katiba haipo?, acha kujifanya unavuta bhangi mchana, imeelezwa hapo kwamba Kenya iliamua kujitoa baada ya Marekani kutoa vitusho, wewe unakimbilia katiba, kila kitu mnakimbilia katiba hairuhusu,My friend mikakati inaendelea, viwanda vya nguo Kenya vinaimarika, wananchi wanahamasishwa. Kanywe panadol, ikifika wakati wa kuban mitumba, Kenya tutafanya hivo, ntakumbuka kukutag. Katiba yetu haitukubali kufanya hayo bila ya mchakato wa kusikiza maoni ya wananchi na wanadau kwenye sekta hiyo.
Acha kujaza server bure kama hukuelewa sema ufafanuliwe! Point yangu kuu ilikuwa ni kwamba, tayari wanabiashara wa mitumba walikuwa wanataka kupeleka kesi mahakamani. Nakuhakikishia leo mitumba ikipigwa marufuku Kenya, kesho mahakama inabatilisha uamuzi huo!Tatizo lako wewe unazungumza bila kutumia akili, kwanini usiwe unafikiria kwanza kabla ya kuandika?, hivi hujui kwamba unashusha heshima yako?, katiba ipi unayoizungumzia hapa, wakati miaka miwili iliyopita nchi zote za EAC zilikubali na kuweka sahihi kwenye huo mkataba wa kuzuia nguo za mitumba kuanzia 2019, Uhuru Kenyatta mwenyewe aliweka saini yake, ina maana alikuwa haijui hiyo katiba, au ilikuwa hiyo katiba haipo?, acha kujifanya unavuta bhangi
"Wakati wa kuban mitumba, Kenya tutafanya hivyo. Katiba yetu haitukubali kufanya hayo bila ya mchakato wa kusikiliza maoni ya wananchi na wadau kwenye sekta hiyo", mbona Kenya ilikwisha weka saini two years back, ina maana ilifanya hivyo bila kufuata Katiba?My friend mikakati inaendelea, viwanda vya nguo Kenya vinaimarika, wananchi wanahamasishwa. Kanywe panadol, ikifika wakati wa kuban mitumba, Kenya tutafanya hivo, ntakumbuka kukutag. Katiba yetu haitukubali kufanya hayo bila ya mchakato wa kusikiza maoni ya wananchi na wanadau kwenye sekta hiyo.
Si washone nguo za vitenge mbona inapendeza ? Kuliko kuvaa hayo mapolista ya kichina!Effect ya kupandisha kodi mitumba imeshaanza kuonekana.
Sasa hivi dada zetu wana vaa nguo za mchina zilizotengenezwa chini ya kiwango (ofcourse cheap is expensive) ambazo wakivaa, wanatembea huku chupi inaonekana.
Mitumba ikipigwa marufuku the situation will be even worse, the dignity of an African woman will imeadiately dissapear kwa haya mavazi transparent ya mchina.
Reff huu uzi kujionea mavazi ya kichina...
Viazi hivi ni vya Mbeya au Njombe?
Fala wewe acha kujifanya mjuaji nyinyi hamna anything to lose hamuexport chochote marekani...Kenya inaingiza 40b kila mwaka kwenye mkataba wa Agoa..alafu vitu hazifanywi kwa kukurupuka kama una akili, pale gikomba kuna wafanyibiashara 60,000 wanaodeal na mitumba tuna uhakika textile industries zitawaajiri hawa watu wote????hatufanyi vitu ndo tufurahishe ego zenyuTatizo lako wewe unazungumza bila kutumia akili, kwanini usiwe unafikiria kwanza kabla ya kuandika?, hivi hujui kwamba unashusha heshima yako?, katiba ipi unayoizungumzia hapa, wakati miaka miwili iliyopita nchi zote za EAC zilikubali na kuweka sahihi kwenye huo mkataba wa kuzuia nguo za mitumba kuanzia 2019, Uhuru Kenyatta mwenyewe aliweka saini yake, ina maana alikuwa haijui hiyo katiba, au ilikuwa hiyo katiba haipo?, acha kujifanya unavuta bhangi mchana, imeelezwa hapo kwamba Kenya iliamua kujitoa baada ya Marekani kutoa vitusho, wewe unakimbilia katiba, kila kitu mnakimbilia katiba hairuhusu,
1)Ukabil- katiba hairuhusu kuondoa ukabila
2)Rushwa- Katiba haimpi mamlaka rais kupambana na rushwa
3)Njaa- Katiba hairuhusu wananchi kuzalisha chakula
4)Police killings - Katiba hairuhusu serikali kuzuia police killings
5)Stupid Kenyans
Mbona mliweka sahihi miaka miwili iliyopita, hayo unayosema hamkuyajua au Uhuru Kenyatta alikuwa amevuta bhangi?, baada ya US kutoa vitisho ndiyo akili imerudi mkaamua kujitoa wakati mlipewa muda mrefu wa kufikiria kabla ya kuweka sahihi. Tatizo lenu mnakurupuka sana, sisi kwenye EPA hadi leo tumegoma kuweka sahihi, kwanini mliharakisha kuweka sahihi kama kuna vitu mlikua hamjakubaliaba?. It is a sign of a failed state Kenya ranked as 'failed state'Fala wewe acha kujifanya mjuaji nyinyi hamna anything to lose hamuexport chochote marekani...Kenya inaingiza 40b kila mwaka kwenye mkataba wa Agoa..alafu vitu hazifanywi kwa kukurupuka kama una akili, pale gikomba kuna wafanyibiashara 60,000 wanaodeal na mitumba tuna uhakika textile industries zitawaajiri hawa watu wote????hatufanyi vitu ndo tufurahishe ego zenyu
Wakati umefika kwetu waafrika tubadilishe mienendo yetu. Kama U.S wanalilia free trade basi China, Japan, na pia nchi za Africa zina hiyo haki pia. Kuna wakati rais Kenyatta alikuja na ule msimamo wa, tufanye biashara katikati yetu sisi waafrika kabla ya kuvuka bahari kutafuta chochote ughaibuni. Hii inafaa ku'aplly' kwa nguo pia! Kama kuna nchi za Afrika zina viwanda vya kutosha vya nguo tununue kwao. Kitakachosalia ndo tutafate huko China, Japan, India, au hata America tukipenda. Hii itapunguza mazoeano na madharau ya hawa jamaa.pia ushindani wa kibiashara kati ya China na marekani ndiyo umepelekea hilo. marekani wanajua ya kuwa EPZ za EAC zimejaa wachina wameanzisha import substitution industries (ISI). hivyo nguo mpya haitanunuliwa tena kwa gharama kubwa, maana gharama nyingi kutia ndani za usafirishaji na ushuru wa forodha zitakuwa zimepungua. pia kuna motisha nyingi kama exemption on machineries importation taxes (deemed capital). hivyo marekani inajua muda si mrefu mitumba yake
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Wakati umefika kwetu waafrika tubadilishe mienendo yetu. Kama U.S wanalilia free trade basi China, Japan, na pia nchi za Africa zina hiyo haki pia. Kuna wakati rais Kenyatta alikuja na ule msimamo wa, tufanye biashara katikati yetu sisi waafrika kabla ya kuvuka bahari kutafuta chochote ughaibuni. Hii inafaa ku'aplly' kwa nguo pia! Kama kuna nchi za Afrika zina viwanda vya kutosha vya nguo tununue kwao. Kitakachosalia ndo tutafate huko China, Japan, India, au hata America tukipenda. Hii itapunguza mazoeano na madharau ya hawa jamaa.
Haijalishi mikataba kama hiyo inasema nini. We fikiria size ya U.S, 52 states! Hiyo ni karibia Africa nzima, afu hizo states kwa pamoja, zinakuja Africa kufanya mikataba na tuseme E.A.C au hata S.A.D.C.. Hapo unategemea nini? Tunaliwa jombaa, ila wajinga ni sisi mbaye hatukusikiza alichokuwa anasema Ghaddaffi. Kenya ikiingia kwenye mkataba wa moja kwa moja na tuseme Japan, au E.A.C na India. Hapo angalau inamake sense ila ikifika kwa U.S labda waafrika kwa pamoja ndo tunawezana nao.Kwani mkataba wa AGOA unasemaje?
Mbona baade kabisa kusiwe na mikakati ya kukusanya nguo ambazo zimeshatumika na waafrika wenzetu, kupitia serikali. Afu kuwe na viwanda maalum vya kurepair nguo hizo ili wasojiweza nao wazipate kwa bei maalum, bei nafuu hata kama bei zitakuwa 'subsidised' na serikali. Kwani unadhani mitumba lazima itoke kwa wazungu? Tukijipanga kwa pamoja haya mambo tanayaweza!Watoto kule vijijiji watavaa kaptula zilizo toboka matakoni na viraka kibao
Kwa kutumia mtazamo huu, tunakuomba kwa niaba ya serikali ya Kenya utuambie kwanini GoK inakuwa haina maamuzi na kuendelea kuyumbishwa na wazungu kiasi hiki?, hata katika mambo ya msingi kama haya lakini Kenya bado imekua inawaogopa wazungu, kweli inasikitisha sana.Haijalishi mikataba kama hiyo inasema nini. We fikiria size ya U.S, 52 states! Hiyo ni karibia Africa nzima, afu hizo states kwa pamoja, zinakuja Africa kufanya mikataba na tuseme E.A.C au hata S.A.D.C.. Hapo unategemea nini? Tunaliwa jombaa, ila wajinga ni sisi mbaye hatukusikiza alichokuwa anasema Ghaddaffi. Kenya ikiingia kwenye mkataba wa moja kwa moja na tuseme Japan, au E.A.C na India. Hapo angalau inamake sense ila ikifika kwa U.S labda waafrika kwa pamoja ndo tunawezana nao.
Serikali ya Kenya inaangalia hela ambazo Kenya inaingiza kila mwaka kwa mkataba huo wa AGOA, karibia 40b siwalaumu. Lakini si lazima kwa kila jambo uunge mkono serikali, ndo maana kuna upinzani. Inafaa ujue kwamba serikali ya rais mstaafu Mwai Kibaki na hii ya rais Uhuru Kenyatta ndo zimekuwa haziendani na matakwa ya wazungu. Wazungu waliziita serikali za 'looking to the East', yaani China. Kuna siku mabalozi wote wa nchi za magharibi walikaa kwenye kikao wakasema ya kwamba ubaguzi dhidi yao umezidi, na kwamba rais hakuwa anakubali hata wafike ikulu. Kumbuka waliposema kwamba 'choices have consequences' baada ya wakenya kumchagua rais Uhuru awe rais wao. Wakenya sanasana wanafata hela na watalii. Basi.Kwa kutumia mtazamo huu, tunakuomba kwa niaba ya serikali ya Kenya utuambie kwanini GoK inakuwa haina maamuzi na kuendelea kuyumbishwa na wazungu kiasi hiki?, hata katika mambo ya msingi kama haya lakini Kenya bado imekua inawaogopa wazungu, kweli inasikitisha sana.
Umenena ukweli, tatizo tayari tushaonekana ni shimo la takataka, kuanzia chemicals zao, vifaa vya tech, entertainments, nguo, viatu, chupi, brassieres, na hata vyakula vilivyo expire...pia ushindani wa kibiashara kati ya China na marekani ndiyo umepelekea hilo. marekani wanajua ya kuwa EPZ za EAC zimejaa wachina wameanzisha import substitution industries (ISI). hivyo nguo mpya haitanunuliwa tena kwa gharama kubwa, maana gharama nyingi kutia ndani za usafirishaji na ushuru wa forodha zitakuwa zimepungua. pia kuna motisha nyingi kama exemption on machineries importation taxes (deemed capital). hivyo marekani inajua muda si mrefu mitumba yake itabaki nayo imedoda bila soko.
ila tujue Ulaya na marekani pia kuna watu wengi wanavaa mitumba. hivyo ni wakati muafaka kwa marekani na Ulaya kuimarisha soko lao la ndani kabla ya kuwalazimisha wengine wanunue wasichokitaka.
"Serikali ya Kenya inaangalia hela", hilo linafahamika kwamba Kenya kwenye pesa ipo tayari kupoteza heshima yake na UTU wa binadamu. Tanzania tunajua vizuri tabia ya Kenya na wakenya kwa ujumla katika kuthamini pesa kiasi sana, ndiyo sababu huwa tunakuwa makini sana kupanga na kukubaliana na Kenya.Serikali ya Kenya inaangalia hela ambazo Kenya inaingiza kila mwaka kwa mkataba huo wa AGOA, karibia 40b siwalaumu. Lakini si lazima kwa kila jambo uunge mkono serikali, ndo maana kuna upinzani. Inafaa ujue kwamba serikali ya rais mstaafu Mwai Kibaki na hii ya rais Uhuru Kenyatta ndo zimekuwa haziendani na matakwa ya wazungu. Wazungu waliziita serikali za 'looking to the East', yaani China. Kuna siku mabalozi wote wa nchi za magharibi walikaa kwenye kikao wakasema ya kwamba ubaguzi dhidi yao umezidi, na kwamba rais hakuwa anakubali hata wafike ikulu. Kumbuka waliposema kwamba 'choices have consequences' baada ya wakenya kumchagua rais Uhuru awe rais wao. Wakenya sanasana wanafata hela na watalii. Basi.
Naona wakenya mmeanza kupata akili safi sanaHukujua nakuwaga member wa kile kikundi haramu cha, F#*K America! Ila watz mnatuponda sana kuhusu marufuku ya mitumba, wakati ndo serikali inajaribu kufufua vile viwanda vya zamani kwanza. Afadhali nivalie 'Made in Tanzania' kuliko hayo mauchafu yao!
Kwanini unabisha vitu vilivyowazi kiasi hiki?, hizi nchi zilipanga mikakati ya kujenga viwanda vya nguo katika kila nchi, na tulikubaliana kwamba by 2019 tuwe tuna viwanda vya kutosha kwa ajili ya soko la EA, tukijiridhisha kwamba viwanda vipo, tuanze kupunguza kuingiza nguo za mitumba kidogo kidogo, sasa mikakati gani unataka zaidi ya huo?, acheni unafiki ninyi.Ubinafsi gani wakati sijaona E.A.C ikifanya mikakati ya kukuza viwanda vya pamoja. Kila mtu anafanya yake, ila ikifika kwenye kupiga marufuku eti ndo tuwe pamoja! Salaale!