Three greatest of all time 'mou left out Cristiano Ronaldo'

We acha kumlisha maneno SAF yeye siku zoote husema Ronaldo ndiye bora
Kama vip google tuu utakuana na kauli zake nyingi tuu akisema Ronaldo kwake ni bora
 


Na ushahidi wa video upo kama yupo tayari niitume now
 
Wacheazaji wote duniani ili wajihisi wamefika level za juu ni kukipiga kwenye klabu mbili bora duniani ambazo ni BARCELONA au REAL MADRID...sasa wewe unataka Messi atoke Barcelona halafu aende wap??? Man U? West Ham? Arsenal? Yeye kashapita zamani levo ya klabu hizi tangu yupo teenager... Ronaldo alitokaan U na kwenda madrid, hii ilikuwa ni kama kupanda daraja kwake! Messi hana pa kwenda...He is too big!!!
 
Haaaa
Mimi siyo kazi yangu kumpangia kwa kwenda yeye ndo atafute
Halafu kumbuka kwa kipindi kile man u haikuwa tim ndogo kama ulivo ilinganisha na west ham wewe
Hivo yeye ndo atafute new challenge( jambo ambalo si nlazimishi) kwangu mimi ndo kipimo hicho
 
Nje ya Barcelona Messi ni wakawaida sana,mafanikio yote kayapatia Barcelona,Timu ya Taifa kamaliza kwa aibu.
Aibu??? Wewe hata mpira hufatilii? Maelfu wameandamana kumuomba arudi kwasababu ya mchango wake...sasa aibu yatoka wapi? Au hili neno aibu lina maana nyingine kwako?
 
Uhali na ukweli huo ni kwa upande wako

Maradona kafunikwa na pele
Na Messi kafunikwa na Ronaldo

Huwezi kunilazimisha niwaze unacho waza wewe
Ambacho ni hisia tena zenye bias na zczo za kisoka
Hukubahatika kumshuhudia live pele wala maradona! Hujachelewa, watafute youtube...Maradona ni bora sana kuliko Pele!
 
Hukubahatika kumshuhudia live pele wala maradona! Hujachelewa, watafute youtube...Maradona ni bora sana kuliko Pele!
Wewe ulimshuhudia wapi live Pele !!?
Maana maradona naweza kukubali kwani mpaka mwaka 1995 alikuwa ana cheza
Ila kwa pele wengi huongea bias tuu
Sawa sawa na kusema ulimuona sonny linston akipigana ni uongo

Na nikufundshe kitu
Usije kutoa point zako kwa kuangalia clip
Ni bora uende kwenye website ya fifa alaf angalia bio ya mchezaj ndo useme kitu
Hata clip za takuma asano wa arsenal huwa zinaonyesha ye ni mzuri
 
Yeye akatafute ya nini? Ana Ballon D'or tano ambazo hakuwahi fikisha mchezaji yoyote duniani! Yeye hana cha kuprove kwasababu ashakuwa approved muda mrefu kupitia tuzo mbalbali... Yaani asiwe approved wakati wa kucheza barca, atakuwa wapi? Man city au sunderland???
 
Eeeh ndo maana akitoka nje ya barcelona huwa hashindi kitu maana kina kaka iniesta wa kumbeba wanakuwa hawapo

Kwa ku hamia ata jua mwenyewe
 
Mkuu
Umesoma reason yangubya kuwa mbishi
Au ina kurupuka

Hivi mtu mwenye magili zaid ya 1000,na makombe ya dunia ma 3 unasema alipitwa kwa kura ambazo zimefanyika miaka miaka zaid ya 30 ya kucheza kwake!!!!

Be reasonable bhana

Magoli 1000 ndio nini sasa? Zaidi ni ya offside kipindi hicho sheria hazikuwepo hivyo isikupe headache

3cups sio solution yakuwa yeye ni bora, remember dat period alikuwepo Alfredo de stefano japo hakuwa na bahati ya mogoli mengi na vikombe lakini ndie best player more than pele, Pele fifa inamlinda.

Vilevile kacheza wakati sio mgumu kama kipindi cha akina king Maradona to now, kipindi hicho sheria hazikuwepo, mabeki wenyewe hakuna tofauti na sasa.

Maradona atabakia kuwa maradona ktk huu ulimwengu

Mfalme Messi And Mfalme Maradona No comparisons of these two kijanaaa.
 
Yaaan ulicho paswa umuongelee pele ndo ume muongelea maradona
Nyie ndo huo mpira mna uskiliziaga XXL kwa james tupa tupa
Zamani kulikuwa hakuna strict laws of ofside lakin pia sheria hazikuwabana mabeki na walikuwa agresive kuliko now
Kama magoli 1000 na zaid si kitu nitajie at least watu watano walio fikisha hyo
Kama makombe ya dunia ma tatu si kitu
Taja wengne walio fanya hvo
Think big mkuu
Acha bias
 


pele amebakia kama chombo cha propaganda cha fifa, ndio maana hata wakati wa kumchagua mchezaji bora wa karne pele hakupewa, matokeo yake kura akapewa Diego Maradona. Fifa wakaamua kumbeba pele eti wapewe tuzo wote wawili! Kisa Maradona ni mtovu wa nidhamu! Maradona akawaambia fifa hayupo tayari kushea tuzo yake na mtu mwingine. Kwangu mchezaji bora kabisa kupata kutokea duniani ni diego maradona and Leo Messi.
 
Mkuu uko sawa sawa kweli!!?
Sababu mbona nime zitoa hapo juu yaan una ni quote halaf unaongea vitu vingine
Eb soma vzuri kwa nini nime kitupa kigezo cha kura alafu unijibu, na fifa waliona hvo pia
Si lazima ujibu leo kila hoja kaa hata siku mbili chunguza ndio uje ujibu

Sijawahi kusema maradona si mchezaj mzuri, nakataa tu kuwa hamzidi pele
In that order pele 1, maradona 2

Messi ndo stak hata kuskia akiekwa karbu na hao watu hiyo ni jambo ya ajabu

Alafu
 

Na hanunuliki, kama Higuain kanunuliwa kwa 75.3, na Pogba kanunuliwa kwa 110..je mfalme atanunuliwa kwa ngapi, hakuna timu inayoweza kumnunua kiumbe huyu.
 

Ukweli ndio huo naona unababaika tu baada ya kukuingia ukweli, vile vile hutaki kusikia Mesi akiwekwa karib na King Diego na pere..ukweli utabskia Pale pale utake usitake.tena Pele ndio hagusi kabisaa Kwa Mesi, mcomfirm na iniesta ndio wataendana. Na sio Messi bro
 
Black P njoo huku rxfiki yako bado anabisha tu,πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Naina umebaki kusema ukweli ukweli

Kama wewe una ukweli wako na mimi nna ukweli wangu
Na ukweli wangu Messi hagusi popote ni mashabiki wa barca tuu(maana hata wa argentina hawaoni hivo) ndo wana penda kumpaisha
Na mkuu una hangaika haita kuja tokea kwa hvi karibuni mimi nika kubaliana na wewe
Nadhani huu uzi uta kuwa ni endelevu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…